Trust me nilimwambia 8months ago tena that day nilikua nimesafiri nao ndio wakaanza kuongea nikamuita peke yake nikamwambia kua sio kila anacheka na wewe ndio anakupenda,jaribu sana kuweka mambo ya mumeo na yako siri,kua na mipaka ya kuongea..na pia sio mtu wangu wa karibu sanaa na sipendi anizowee..
lakini namuonea huruma still,sijui binadamu wengine wakoje...Watu wa hivyo huwa hata hawaelewi somo kabisa
wengi hua wanapenda kuamini wenzao na wanafikria roho zao sawa na wengine anaweza kuhimili chochote na pia kukutakia mema...Nikukumbuka naumia sana marafiki zake ndo walio vunja uhusiano wang na girlfriend wang na ujinga n wake cjui kwann wanawaweke hawawez kuwa na cr mpaka mambo ya ndan na mume anayapeleka kwa shosti zake jina sana watu km hao
Bora.......Ndo maana sina shosti. Marafiki zangu ni mume na watoto baas.
kweli kabisa......Ni kosa kubwa sana ambalo nimejifunza kutoka kwa wakubwa zangu aisee,usithubutu kumueleza shoga ako mapungufu au strength za mume au boyfrind wako,kwanza unaeweleza unadharaulika, pili the way watakavyompersiv huyo mume sjui n boyfriend some time waweza muoneshea dharau ya waziwazi kiasi kwamba hata ww ulowaeleza roho ikauma