Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Mwanamke kutokuweza kuusitiri mdomo wake nayo ni mapungufu. Mapungufu n tabia ya "ndani" ambayo mtu anashindwa kuidhibiti,inakuwa ni kama kilema kwake. Sidhani kama kuna mapungufu ya kujitakia dada yangu. Muhimu jaribu kuwapa nasaha huenda wakawaidhika.mapungufu mengine mtu unajitakia Tabia gani yakusema vyako vya ndani? matokeo yake analipa thamani kubwa..