Kwanini umueleze shoga mambo yako ya ndani?

Kwanini umueleze shoga mambo yako ya ndani?

Hao wanaume wanaokubali kuchukuliwa kama viroba vya chumvi hawana akili? Kuna vitu tuache tu kuwalaumu watu wa upande mmoja bila kufanya consideration ya upande mwingine. Sipati picha niende kwenye function kazini kwa mke wangu, then "nichukuliwe" na workmate wa mke wangu. Nitakuwa nimemdhalilisha mke wangu kupita kiasi...
Wenye akili hiyo wachache sana, wengi huona kama sifa
 
Nilishudia ugomvi kazini waliokuwa marafiki wanagombana nilishangaa sana maana kipindi hicho nilikuwa sijafika 30 anachambwa mmoja na wenzie wanamwambia asiwababaishe kwanza mume mwenyewe anakovu palee halafu wanamuuliza "unabisha tuongeze"? Huyo mama alinyamaza kimya na walikuwa ni wakubwa 40 na kuendelea, hivyo hii kitu hata baadhi ya wanaume huona sifa sana kuchanganya mke na marafiki zake sijui kwa nini
 
Trust me nilimwambia 8months ago tena that day nilikua nimesafiri nao ndio wakaanza kuongea nikamuita peke yake nikamwambia kua sio kila anacheka na wewe ndio anakupenda,jaribu sana kuweka mambo ya mumeo na yako siri,kua na mipaka ya kuongea..na pia sio mtu wangu wa karibu sanaa na sipendi anizowee..
Asije na wewe akakuambukiza hahahaaa......
 
Mtani, naamini kabisa wengi wa wanawake hawana vifua vya kuweka mambo ya ndani bila kuwaambia rafiki zao, sio kitu kizuri lakini bahati mbaya hiyo ndio nature yenu. Najiuliza tu, waume zao wanatumia vipi nafasi zao kuhakikisha mke anajenga kujiamini na kutosema kila kitu kwa rafiki zake? Sisi wanaume tuna kazi ya kuwatengeneza wake zetu wawe tunavyotaka, vice versa pia kwenu.
Swala la kutoka na mfanyakazi mwenzake...sijui kwa wenzangu, ila naona kwa kufanya hivyo tunawadhalilisha wenza wetu katika maeneo yao ya kazi.
Mkeo ana bahati ya kupata mume anaejitambua
 
yani umegusa ndipo na huyu mwizi wa mwanamme wa mwenzie anaanza yeye kumuliza enhe wifi yake nipe michapo ya kaka
leo umechelewa kaka amefanya mambo yake nini jana mpaka umechelewa kazini? na yule alivyokua mwehu ana tiririkaje!!

Hahahaha...........wanapenda ujieleze zaidi iwe rahisi kukuzunguka.....wanawake wakiambiwa watabomoa nyumba yao wenyewe wala hawaelewi kwamba na kutoa habari za chumbani nayo ni nyundo kubwa yakubomolea ndoa yao.......kuta nne ndio zinatakiwa ziongee
 
Nimeipenda ofisi yenu

Kumbe ni nzuri hivyo
 
Nilishudia ugomvi kazini waliokuwa marafiki wanagombana nilishangaa sana maana kipindi hicho nilikuwa sijafika 30 anachambwa mmoja na wenzie wanamwambia asiwababaishe kwanza mume mwenyewe anakovu palee halafu wanamuuliza "unabisha tuongeze"? Huyo mama alinyamaza kimya na walikuwa ni wakubwa 40 na kuendelea, hivyo hii kitu hata baadhi ya wanaume huona sifa sana kuchanganya mke na marafiki zake sijui kwa nini
huyo Mama ningekua mimi na kazi ningeacha Aibu gani hiyo...
 
Mkuu kwa nini uache kazi? Aliyejidhalilisha mmeo wewe uache kazi!! Naendelea vizuri ila salamu yangu hawatoipata kwa kweli.
Apana Aibu nyengine its too much,kosa sio lao nila mume wangejuaje kama asingekubali kuwavulia nguo?
 
Apana Aibu nyengine its too much,kosa sio lao nila mume wangejuaje kama asingekubali kuwavulia nguo?
Ndio hivyo hawa wenzetu Mimi huwa siwaelewi kabisa unakuta mwingine unamfichia siri ya kibamia chake bado atataka kuimbisha mashoga wakitoka hapo kila wakikuangalia hawakumalizi maana kukuuliza wanashindwa, kukwambia wanaogopa maana wanajua hakuridhishi sasa unaishije naye hawaelewi, jamani ni shida kwa kweli
 
Nimecheka shosti umenikumbusha mbali sana classmate wangu alikua na B/F wake sasa sijui yule bwana alikua na matatizo gani akawa kila anapokutana shosti wangu hakuna mapenzi hapo shosti akija ana guna tuu lakini pesa yule bwana alikua Ardhi basi pesa kwa week anaweza kupewa mpaka 5M na yule bwana wivu hatari anatukana ile mbaya au akimuita ashuke chini kwenda kumuona anmwambia njoo nimeshalaza seat za gari nikupe ukali ukali,sasa kuna siku alimtibua darling wake siakanipa ukweli bwana huyu bwana mie basi kwana hata sijui kama uume anao au hana,anakazi yakuni kapchika midole yake yenye pete inachuna kama nini,mie nikabaki eti nini? haiwezekani manake hayo maneno na chaajabu jamaa hatki kushikwa ikulu yake na G/F wake yani mpaka leo yule mkaka nikimuangalia simmalizi...
 
Back
Top Bottom