Kwanini umpe mwanamke hela?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,195
Reaction score
40,095
Uyo mwanamke ni mlemavu, ame-paralyse au mtoto yatima? Kama ishu ni sex iyo ni mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume ugharamie.!

Hela anatakiwa kupewa na baba ake, no man has a reaponsibility to take care of a girlfriend financially; au kama anauza mbususu ataje bei twende geto tukamalizane nimlipe, then there are no attachments.

The purpose of love relationship is to make love not to provide money. Nyie wanaume maboya embu amkeni basi.

Rais wa UWABATA JF.
 
Ukimpa mwanamke hela, atakuvumilia na wewe utaenjoy.
Ukiendekeza sijui mapenzi ya dhati, kuna siku utaumbuliwa. huwa yanaisha hayo.
Atakuvumilia kwa lipi sasa? Kwamba uyo mwanaume anajinyea kwaiyo mwanamke atamtawaza? Au mwanamke haitaji mwenza kwaiyo kuamua kuwa na mwanaume ni kumuonea huruma tu? In which way a man become a burden kusema mwanamke analzimika kupewa hela ili amvumilie uyo mwanaume?
 
Majibu yapo humo.

Pole sana mkuu.
 
UWABATA mnasupport 50/50 tusipowapa hela wapewe na nani?

mnataka wafanye kazi wapate hela waanze kutukoromea?
Wapewe hela na baba au kaka zao au lah wafanye kazi na izo hela wakizipata wajue pia wao ni wanawake wana wajibu na mipaka yao katika mahusiano. Mwanamke akileta jeuri sisi kwetu ujaluoni tunajua cha kufanya.
 
Hakuna majibu umo ni upumbavu mtupu
 
Tatizo ww huna ajira. Kwa hiyo suala la pexa kwako litakua ngumu. Usitupe ushawishi mbaya. Tutazidi kuwahudumia. Hadi mwisho was dunia. Hawa viumbe ndio sitara zetu na viburudisho vyetu
 
Unampa ili akupe, quid pro quo....nothing goes for nothing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…