BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,517
- 21,633
Nimemjibu mkuu, angalia swali lake.acha ujinga, baki kwenye mada...
Maneno hayo... what the beautiful wordsKanisa halinibadilishi kitu, ni mimi ndie nitakaeamua kubadilika.
kivipi sasa, itabidi unipe uthibitisho kwamba kweli yeye yupo😅Ntahakikisha nakusogeza kwa Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako
"Mchangue anunue gari baadae awaombee mpate magari"very funnyWalivosema sema tumchangie mchungaji gari, nikasema kwaheri mazee
I mean kwenye kila kitu kikubwa dunia hii utafanya, ni lazima aidha utumie nguvu za kiroho iwe Mungu au la, sasa wewe utachagua nguvu ipi? Unajua why mchawi hawezi kuvunja bank?sijakuelewa
Hahahah komwee kama komweeHILI NALO MKALITIZAME.
Kwanini BICHWA KOMWE hataki kwenda kanisani atiiiii!
Nawaagiza wasaidizi wangu wakaliangalie hili tuone ni namna gani tunakwenda mbele kuhakikisha BICHWA KOMWE anaenda kanisani.
Unapenda parachichi?sijakuelewa
Hahahahah wewe brother wewe...![emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda parachichi?
MUNGU HAYUPO, SHETANI HAYUPO, UCHAWI HAUPO.....I mean kwenye kila kitu kikubwa dunia hii utafanya, ni lazima aidha utumie nguvu za kiroho iwe Mungu au la, sasa wewe utachagua nguvu ipi? Unajua why mchawi hawezi kuvunja bank?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Michango imezidi sana, michango yenyewe hainufaishi waumini moja kwa moja, mara mchango wa ujenzi, mara kiwanja, mara gari wakati we huna nyumba huna baiskeli huna biashara, hela inatakiwa tu. Usipotoa utatengwa au kupakaziwa una dhambi ufukuzwe
Hivi, hawa wanaotoa ushuhuda ni kweli wanapona? Au ni uoga tu?Dini zote ni upuuzi mtupu mi sina Dini, mafundisho yao ni ya kufikirika na yamejaa Uongo.
komwe kama komwe😂Unapenda parachichi?
Tuanze na wewe amadi kwanini huendi msikitini na ulikuwa mvaa kobazi mzuri tu?
Hakika! Nikiwa shuleni nilikuwa namuomba Mungu eti nifaulu kwa ubora mkubwa. Aisee matokeo yalikuwa yananifurahisha, nilikuwa nafaulu kawaida mno. Nikagundua kumbe nilikuwa na jihudi ya kuomba na si kusoma.MUNGU HAYUPO, SHETANI HAYUPO, UCHAWI HAUPO.....
hivi vitu unavipa nguvu kwenye akili yako ndo maana unaona vipo....
ili biashara ikue inabidi utoe huduma bora kwa wateja wako kuliko ushindani wako, basi.... hamna nguvu ya ziada.....
najua utabisha, fanya utafiti wako mwenyewe utaweza elewa ninachomaanisha
Na uwepo wako hapa duniani unafikiri hauna muunganiko na imani..Dini zote ni upuuzi mtupu mi sina Dini, mafundisho yao ni ya kufikirika na yamejaa Uongo.