Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Nikitaka gari, nikafanye kazi nipate ela ninunue,
mchungaji akitaka gari, tunaweka bakuli tunamchangia,,,,!!

done being a fool!!
 
Wengine wengi ni baada ya kukosa majibu ya maswali yao kuhusu dini wanapo uliza kujiuliza: kwa vipi, kwa nini, kwa sababu gani?
 
Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Ongeza na kuchangia mtoto wa mchungaji anaekwenda kusoma Marekani,hela ya maji njiani.
 
Nliacha baada ya kugundua kila kitu tulichofundishwa ni uongo dini ni kwa ajili ya kutupumbaza ili tuendelee kutawaliwa
 
Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Ukitoka kanisani nenda kwenye jumuia sadaka na michango mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…