Sinai
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 288
- 47
Jamani, kuna baadhi ya akina dada ving'ang'anizi sijapata kuona! Wewe umechumbiwa, umelipiwa mahari lakini bado unaenda kugegedwa na mabwana wengine. Mchumba wako kajua, na ameamua kukuacha ili uendelee kugegedwa na hao wanaume wako, tena hakudai chochote, kwanini umng'ang'anie? Je umeona anafaa baada ya kukuacha? Kila siku unatuma sms na kupiga simu, mara unakuja ofisini eti unataka usamehewe, shetani sijui alikupitia sijui wenzako walikudanya sijui..........................lol, jamani kama umepigwa chini chapa lapa hata ukilialia haisaidiiii!