Kwanini ulazimishe kuolewa?

Kwanini ulazimishe kuolewa?

ingekua hivyo dunia asingeishi mtu humu, dats y tukaumbiwa misamaha, pole weeeeeeeh

::
Suprise
Unasaliti uhusiano ili utumie msamaha kuhalalisha ukosefu wako?
=
 
Last edited by a moderator:
Angalia tangu umekuwa na uhusiano naye ni mara ngapi amekuwa akifanya makosa ya namna hiyo. Pia angalia mazingira yaliyompelekea yeye kufanya kosa hilo. Kama ni tabia yake achana naye. Maana atakusumbua mbeleni.
 
Ama kweli kosa atende mwanamke akifanya mwanaume linakua sio kosa. Sina maana kua natetea ufirauni la hasha . Mimi nadhani ni vema kuwa mwaminifu hasa kwa mwanaume nae ajiulize je yeye tangu amchumbie huyo mrembo, je yeye ni mwaminifu na kama si mwaminifu basi amsamehe mwenzie si ndio maisha wanayoishi siku hizi vijana . Jiulize je wewe uyatendayo sirini yakiletwa hadharani je utakua jasiri na utaiazama jamii bila haya au unashindwa tu kumsamehe dada kisa tu wewe hujafumaniwa.
Kama na kijana ni mwaminifu basi huyo dada hafai kuolewa nae, asubiri Mungu atampa alie wake.


Shida ya hawa viumbe wanapenda vitu visafi ilhali wao sio wasafi hata kidogo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom