Kwanini ukiwa hauna pesa unadharaulika?

Together as One, Kati ya vitu vinavyomfanya mtu aonekane kuwa ni mtu wa hadhi ya juu ni pamoja na pesa/utajiri. Unajua hata kama una elimu kubwa halafu pesa huna bado utadharaulika tu katika jamii!?

lakini kama huna elimu halafu una pesa utaheshimika na kuonekana mtu wa hadhi ya juu kuliko msomi asiye na pesa.
 
Kati ya vitu vinavyomfanya mtu aonekane kuwa ni mtu wa hadhi ya juu ni pamoja na pesa/utajiri. Unajua hata kama una elimu kubwa halafu pesa huna bado utadharaulika tu katika jamii!? lakini kama huna elimu halafu una pesa utaheshimika na kuonekana mtu wa hadhi ya juu kuliko msomi asiye na pesa.
Hivi mkuu unakuwaje msomi alafu ushindwe kupata pesa? Make ninacho jua ukishakuwa msomi unajua kutumia mazingira kutafuta pesa kwa maana unatatua shida za watu na hapo ndoo Kuna pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka hapo juu

Hivi Ni kwa nini mtu ukiwa huna pesa ,yaani ninamaanisha ukiwa na maisha duni unadharaulika?

Na hili utaliona kuanzia ngazi ya familia,jamii inayokuzunguka na muda mwingine hata kwenye nyumba za ibada

Ni kwa nini mtu Kama huna kitu watu wanashindwa kuthamini hata utu wako?

Kwa wengi inakuwa ni kutokujiamini kunakopelekea kujiona kama anadharauliwa!!
 
Yaan sku hz ukiwa hauna hela hata mtoto mwenye miaka 2 anakudharau ,ushahid nnao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom