el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,065
Inashangaza sana hawahawa wasichana wanaotukana wanaume wakiwatongoza,wasipotongozwa ndio hukesha kuzunguka kwa waganga huko wakiwa wanatafuta mvuto.
Hivi inakuaje msichana kuna mtu amempenda baada ya muda akaamua kukueleza ya moyoni, lakini cha kushangaza huyo mdada badala hata amkatae tu kiroho safi utasikia anaanza kurusha matusi ya ajabu ajabu au kejeli mara akublock whatsaap na instagram unaweza kukutana nae akaanza kukusonyaa tuu.
Wadada wenye tabia hizi mbaya mbadilike. Kwani kutongozwa ni ugomvi, mfano usipotongozwa miaka mitatu mfululizo si unaweza kufa kwa presha kwahiyo muwe wastaarabu.