Blacks are genetically prone to HIV/ AIDS compared to other groups.
http://motherjones.com/blue-marble/2008/07/african-americans-genetically-prone-hiv-aids
Sidhani kama hii ni sababu ya msingi sana. Ni lazima pia tukubali kwamba we care so less. Wenzetu weupe wapo very systematic na matumizi ya kondomu, halafu ni waaminifu sana kwenye mahusiano yao. Ni nadra sana mtu kumsaliti girlfriend au boyfriend wake. Sisi hatuna kabisa utamaduni wa kuwa waaaminifu. Na hilo halina kipingamizi. unaweza kukuta mtu anafunga ndoa kesho lakini leo yupo na jamaa au binti wa nyumba ya jirani. Yaani shida tupu. Halafu tunafanya hayo bila kondomu. Hii kitu itatumaliza, tutake tusitake.
Ni lazima kwanza tubadilike na tukubali ama kuwa waaminifu au kutumia kondomu kwa uaminifu. Huwezi amini kwamba mwanaume anakwenda na kondom kwa binti anaitoboa kwa makusudi eti kumkomoa binti, kwa kuwa kakomaa kwamba watumie kondom. Huwezijua anayesema mtumie kondom anaweza kuwa ana nia ya kukulinda wewe mwenyewe lakini wewe unadhani unamkomoa. Ni lazima tubadilike waafrika.
Sidhani kama hii ni sababu ya msingi sana. Ni lazima pia tukubali kwamba we care so less. Wenzetu weupe wapo very systematic na matumizi ya kondomu, halafu ni waaminifu sana kwenye mahusiano yao. Ni nadra sana mtu kumsaliti girlfriend au boyfriend wake. Sisi hatuna kabisa utamaduni wa kuwa waaaminifu. Na hilo halina kipingamizi. unaweza kukuta mtu anafunga ndoa kesho lakini leo yupo na jamaa au binti wa nyumba ya jirani. Yaani shida tupu. Halafu tunafanya hayo bila kondomu. Hii kitu itatumaliza, tutake tusitake.
Wazungu gani unawazungumzia? Condom hawatumii kama unavyodhani wana tombana kizembe kuliko wabongo, asikudanganye mtu! Jiulize marangapi wa bongo wapo kwenye group sex!? wao ni kawaida kukuta group lenye madem 4 wanaume 7 wanapiga urabu then ngono kama kawa. Uamnifu wao ni pale mtu anapooa, lakini ndo zao ndo kama ujuavyo, mtu mpaka mwisho wa maisha yake, ameoa mara saba- ambayo ni vertical poligamy as opposed to horizontal ya wabongo.
Kunahoja kuwa afya yetu kwa maana ya virutubisho vya misosi ni duni ndo maana aids kwetu inavuma zaidi, maana hata ulaya drug addicts ndo wanarecord ya Aids, hata wale wasiotumia sindano- sababu ni homoni supression kutokana na madawa na lishe duni. Hoja iliyomgombanisha Thabo Mbeki na wazungu aliposema AIDS africa haisababishwi na HIV. wanaokubaliana naye wanasema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya umasikini na kutapakaa kwa AIDS.
ukweli uko wapi? hatuwezi kujua mara moja
Wakuu msiongopeane hapa.Hili swala tulishalijadili siku za nyuma.Si kweli kwamba wazungu wako resistant kihivyo mnavyoamini.Kuna mambo mengi yanatokea mpaka HIV akapata access ya human cell.
Fuatilieni hii link https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/26811-hiv-resistant-citizens-found-2.html
Kama kuna mtu ana utafiti wake au pingamizi lolote alete hapa na niko tayari kupoteza hata siku nzima kujadiliana nae.
Unless kama unasema hiyo observation haiko real.Nimekuwa najiuliza sana kwanini kiwango cha ukimwi kiko juu zaidi africa kuliko nchi zilizoendelea.
Hiyo link nadhani bado haijaweza kujibu swali la msingi (at least to me!):
Unless kama unasema hiyo observation haiko real.
Hogwash,
Unaweza ku publish paper itakayo dispute hiyo science ya genetics inayokwambia the same traits that give blacks advantage on malaria cause them to be prone to HIV?
Mbona unabisha bila data? Unawezaje kusema wazungu wanajali kuvaa ndomu wakati kila siku tunasikia kina John Edwards, the supposedly best minds and all, wanatia aides zao mpaka kuwapa mimba? Edwards alivaa ndomu? Hao swingers wangapi wanavaa ndomu? Wazungu hawajawa na experience ya HIV kama ya Bukoba na kwao wanaona bado ni unreal, na hivyo wanapiga kavu kavu kuliko mnavyotaka kuwapa credit.Jack Nicholson kashasema wazi hatumii ndomu, sasa huyu naye mweusi? Ona hapa alivyosema katika "Rolling Stone"
Mbona mnataka ku generalize mambo?
Kuna wanaoendekeza ngono zembe kote, na unless unaleta reputable study kuonyesha weusi hawatumii ndomu kama wanavyotumia weupe nitakuona una mabaki ya ukoloni na una worship wazungu tu.
Mzee ulichosema ni kweli kabisa. Jamaa nadhani hana data na analeta zile story za vijiweni bongo vya kusema wazungu wako care.. Watu wanawakamua sana huku kavu kavu mpaka group sex watu wanafanya tena bila ndom . Wakienda kupima ngoma hola yani wako poa. Sasa kwa TZ ukifanya group sex au mtungo tena bila ndom utatoka?
Nadhani ile link uliyeituma itakuwa na ukweli fulani. Maana nimekaa vinchi mbalimbali vya ulaya na ukimwi auvisumbui kabisa yani ukitoka na mzungu ni full kujiachia huna wasiwasi na gonjwa.
Kuna uwezekana mkubwa hivi virusi vitengenezwa maabara na hawa wazungu. Wazungu ni washenzi sana na wana underground projects za ajabu ambazo ni vigumu kuzielewa kama si mfuatiliaji wa mambo..
Ingawa nakubaliana nawe kwamba weusi wako prone to HIV genetically, sikubali kwamba hii inatokana na designs za wazungu, tungeshajua for sure, na hizi conspiracy theories zilizopo hazina nguvu.
Naamini hiki ni kitu natural..
Kama hili unalikubali kwa nini la Miafrika Ndivyo Tulivyo unalikataa?
Nini kinachofanya kiwe "natural"?
Hili ni swala la kibaiolojia lililo na ushahidi katika genetics, hayo mambo ya umasikini wa muafrika kutokana na "ndivyo tulivyo" huwezi kupata ushahidi wa genetics, ni mambo ya historia, siasa, mazingira etc.
Kwa sababu ni suala lisilo sahihi kisiasa ndio maana itakuwa ngumu kupata ushahidi wa kisayansi lakini sina shaka kabisa kuwa lina ushahidi wa kisayansi.
Si wanasayansi wote wanaojali siasa.
Ni kweli. Mfano mmoja ni Richard J. Herrnstein