Kwanini ujiunge na CHADEMA na kuachana na CCM...

Ofisi zipo kwa wananchi na ndio maana muda wote tupo kwenye Mikutano na wananchi nyie mmekaa kwenye viti vya kuzunguka mkitengeneza deal za Rada na EPA sasa naona mmeanza na upromota
 
Umesahau, wote hao wamechaguliwa/kuteuliwa kwa mujibu wa sheria. Watoto wa Mubarak waliingiaje kwenye uongozi, do you know?
 
Soma alichoandika Lukosi na nilichomjibu usiiingilie katikati hutaelewa; nafahamu sana vita vya rushwa Satta anavyopigania; ukiiangalia sana anaendeleza kila alichokianza mar. Mwanawasa; hebu niambie kiongozi gani wa Chadema mwenye courages kama za Satta?

Chadema
Gongo la mboto DSM
 
Ofisi zipo kwa wananchi na ndio maana muda wote tupo kwenye Mikutano na wananchi nyie mmekaa kwenye viti vya kuzunguka mkitengeneza deal za Rada na EPA sasa naona mmeanza na upromota

Ritz;
naendelea kuamini mapimbi Chadema wengi sana haya ndiyo majibu waliyonayo kwani mkijenga ofisi yenye hadhi bado hamtakuwa karibu na wananchi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Angalia huko uliko halafu linganisha pili angalia Kenya Nairobi Pamoja na Ethiopia addis ababa nchi ambayo ilikuwa na janga la njaa uone network za barabara za kisasa ukiona utafikiri ni huko uliko za kwetu ni vichochoro unaita barabara!!!!
 
Nimesoma na nimelewa and that was the basis of my reply. On the red, vacate Magogoni/govt, let CHADEMA in and after 100 days you have every right to come here for a comparative analysis.
 
Nadhani unakurupuka au huelewi nini unachosema; kimsingi unataka serikali itumie michezo kama njia ya kurudisha umoja wetu; mimi nakuonyesha ni jinsi gani serikali inathamini michezo kama njia mojowapo ya kuleta umoja wetu; tatizo wanachadema mpo zaidi kwenye kulaumu .

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ritz;
naendelea kuamini mapimbi Chadema wengi sana haya ndiyo majibu waliyonayo kwani mkijenga ofisi yenye hadhi bado hamtakuwa karibu na wananchi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Kwani ccm ina ofisi ilizojenga zaidi zaidi ya kutaifisha baada ya ujio wa vyama vingi walitakiwa zirudi serikalini zote ndio waanze upya Kama wenzao
 
Mkuu Ritz,'
Huwa nakushangaa unapoanza kucheza hii ngoma ya ukanda na ukoo kwa upande wa Chadema. Lakini waswahili wana msemo kuwa nyani haoni kundule. Nadhani hapo umenipata.

Mkuu wangu Jasusi, ndio maana nimeandika hivyo najua CCM pia wapo hivyo kinachofanyika Chadema na CCM wanawaletea usanii watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma na nimelewa and that was the basis of my reply. On the red, vacate Magogoni/govt, let CHADEMA in and after 100 days you have every right to come here for a comparative analysis.

Satta didn`t come from the blue to win election; just mention one name of so called M4C leaders who is clean ethical; what you guys going to change in 100%? are you serious? Satta won election because of clean ethic values; Zambians were motivated by his courage, remember Satta is UNIP by blood; if you don`t ask those who knows him well!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Angalia huko uliko halafu linganisha pili angalia Kenya Nairobi Pamoja na Ethiopia addis ababa nchi ambayo ilikuwa na janga la njaa uone network za barabara za kisasa ukiona utafikiri ni huko uliko za kwetu ni vichochoro unaita barabara!!!!

Mkuu mkikaa kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana huku mnakunywa Valerur na Vodka, hivi umeishafika Addis Ababa? ombaomba wamejaa mpaka airport.
 
Ritz;
naendelea kuamini mapimbi Chadema wengi sana haya ndiyo majibu waliyonayo kwani mkijenga ofisi yenye hadhi bado hamtakuwa karibu na wananchi?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Hawa jamaa wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa eti wapo kwenye mapambano wakati wanachofanya ni kama vile Apple-Samsung case.
 
Last edited by a moderator:
Umesahau, wote hao wamechaguliwa/kuteuliwa kwa mujibu wa sheria. Watoto wa Mubarak waliingiaje kwenye uongozi, do you know?

Mkuu ebu tuambie ni vigezo gani vilitumika ndani ya Chadema kuwapata wabunge wa viti maalum.
 
chama, kumbe unajua viongozi wanatakiwa wawe clean & ethical?
Kwenye blue: Fumigation na kupanua Keko.
Kwenye red - Yep!
 
Mkuu mkikaa kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana huku mnakunywa Valerur na Vodka, hivi umeishafika Addis Ababa? ombaomba wamejaa mpaka airport.
Mkuu hatuzungumzii ombaomba kwasababu hata hapa wapo wengi sana tunaongelea barabara. Tena Ritz umenikumbusha glass imekauka Huku. Mhudumu!!!!!!!!!!!!!!! tafadhali ongeza glass nyingine ya vodka usisahau kumwambia huko jikoni atangeneze roast ya mdudu
 
Kwani ccm ina ofisi ilizojenga zaidi zaidi ya kutaifisha baada ya ujio wa vyama vingi walitakiwa zirudi serikalini zote ndio waanze upya Kama wenzao

Serikalini zirudi kwa misingi gani wakati zilijengwa na wanaccm kwa kujitolea?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Hawa jamaa wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa eti wapo kwenye mapambano wakati wanachofanya ni kama vile Apple-Samsung case.

Mkuu Ritz;
Jamaa ni vipofu wapo kwenye mapambano lakini hawajui wanapambana na kitu gani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu ebu tuambie ni vigezo gani vilitumika ndani ya Chadema kuwapata wabunge wa viti maalum.

aaah kiongozi wameshakuambukiza ugonjwa wa kutosoma! Prof Beregu, Dr Mkumbo na wengine waliandaa formula ya kupata wabunge wa viti maalum, and everything kiliwekwa wazi. Mama Ana Abdalalh aliwahi kunukuliwa akisema utaratibu waliotumia CHADEMA unaondoa migogoro isiyo ya lazima ndani ya chama.
 
Hivi Tanzania hatuna barabara ukienda Moshi unapita wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…