KWA HIYO TUNAJITAKIA TU?Hakuna cha bongo bahati mbaya mkuu ..
SURE BOSSNi kutokutumia akili kwa kiwango kinachotakiwa mkuu.
Sio kwamba tumeyapenda wenyewe ... ni kwa sababu ya kuyazoea. Kuna watu wanaishi mistuni huko Congo wanaona hayo ndo maisha mazuri. Wana uhakika wa mizizi kwa ajili ya chakula, wanawinda wanyama kwa ajili ya kitoweo, wana mapango ya kujihifadhi kwa ajili kipindi kigumu cha mvua.tuache bhana usituingilie na kutupangia maisha tunayapenda wenyewe
Mkuu hakuna lisilowezekana; tuangalie faida za kumiliki mifugo mingi wakati mfukoni hakuna kitu. Pia tuangalie upande wa umiliki ... mifugo ndo inamiliki wafugaji badala ya wafugaji kumiliki mifugo. Kushinda porini na mfugo ina maana mchungaji anamilikiwa na mifugo. Mifugo inapenda polini lakini bin-adamu hapendi kuishi polini.Sisi tunao toka koo za wafugaji huo ni mtizamo wa wazee. Wanapenda kuona ng'ombe waki nawili. Unakuta maziwa kinyesi nzi kubadilisha mtizamo ni ngumu maana mfugaji wengi hawaendi shule
Aiseee ...wenyewe wanamsemo wao "" wanasema kwamba ..riziki anatoa mungu ""..Ni kutokutumia akili kwa kiwango kinachotakiwa mkuu.
ha hahaaaMkuu hakuna lisilowezekana; tuangalie faida za kumiliki mifugo mingi wakati mfukoni hakuna kitu. Pia tuangalie upande wa umiliki ... mifugo ndo inamiliki wafugaji badala ya wafugaji kumiliki mifugo. Kushinda porini na mfugo ina maana mchungaji anamilikiwa na mifugo. Mifugo inapenda polini lakini bin-adamu hapendi kuishi polini.
sasa hili ni jambo lakuiga "na kujivunia kweli "" ??Sisi tunao toka koo za wafugaji huo ni mtizamo wa wazee. Wanapenda kuona ng'ombe waki nawili. Unakuta maziwa kinyesi nzi kubadilisha mtizamo ni ngumu maana mfugaji wengi hawaendi shule
Kuna mazingira na wakati huwa nahisi sisi weusi tumevamia binadamu. Kuna mtukio mengi sana nadhani kila mtu anajua yanayopelekea mimi kuamini hivi.Binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
Binadamu amepewa akili ili zitumie kuwatiisha viumbe wengine ..
Binadamu ni kiumbe teule ambacho kina uwezo mkubwa wa kuibadili dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi.
Kama ni hivyo; inakuwaje binadamu (hasa Waafrika) wanaishi maisha sawa na wanyama. Kitendo cha mtoto mwenye umri wa kwenda shule kuanza maisha ya kushinda polini na mifugo ni dhahili kuwa mtoto huyo anakuwa ameanza kuishi maisha sawa na mnyama.
Teknolojia wanayotumia wenzetu katika nchi zinazoendelea - sisi tunashindwa nini? Unamkuta mtu (mtanzania) ana mifugo kibao lakini maisha anayoishi anazidiwa na mganda au mkenya mwenye ng'ombe wanne.
NI KWA NINI UISHI MAISHA YA MNYAMA?
Dah! haijaniuma sana kwa sababu kweli kwa Africa tu ndo watu wana matendo ya kinyama.Kuna mazingira na wakati huwa nahisi sisi weusi tumevamia binadamu. Kuna mtukio mengi sana nadhani kila mtu anajua yanayopelekea mimi kuamini hivi.
Sema tu kuna wachache sana miongoni mwetu wanaojitofautisha na hawa wanyama wa africa waliovamia binadamu.
hatari sana "mkuu"". .."" mtihani mnooo fikira za waswahili ""..MKuu umeona hilo!???
Kuna mambo ya kuhalalisha na mengine ni ya kupigwa marufuku!