kwa ambao kansa haijasambaa sana, naweza washauri hii kitu, ni nje ya mambo ya hospitali, lakini ni tiba asili na sina namna ya kuwaaminisha.
Dawa rahisi ni:
1. Mboga inaitwa broccoli/brokoli (kama huijui google), ni ya majani inachemshwa chukuchuku kama mboga nyingine na kuliwa, kansa na mauvimbe uvimbe sijui tumboni au wapi yanaisha vizuri. Tumia angalau kila siku kidogo kwa mwezi mpaka miezi mitatu. Ikikufaa utajiongeza mwenyewe ni mboga.
2. Kachumbari ya nyanya, vitunguu maji na kabeji mbichi, hapa kansa haina ubishi japo haina nguvu kama broccoli, na itabidi angalau ule kila siku mpaka siku upime uambiwe umepona.
3. Omba Mungu, anajibu kwa wakati wake.
NB: kuna watu ni wagumu kuamini kwenye nguvu ya vyakula, hao wanaangamia kwa kukosa maalifa.
Pia hapo hata HIV yule mgonjwa mahututi kabisa, huku anaendelea kutumia dawa, mpatie na hivyo vitu hapo juu muongezee na juice ya karoti wiki 4 haziishi ataingia uwanjani kucheza mpira