Kwanini uendelee kuteseka na cancer?

Kwanini uendelee kuteseka na cancer?

mourisous

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2016
Posts
443
Reaction score
271
MATIBABU YA KANSA
"""""""""""""""""""""""""""""""""
Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa isipokua ni kwa uzembe wake.

(1) Hatua ya kwanza:-
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukari hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.

(2) Hatua ya pili:-
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe ni kitu cha mwanzo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni. Kwa uwezo wa Mungu cancer itapotea mwilini mwako kwani bakteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji moto kila siku. Hii ni kulingana na uchunguzi wa chuo cha Ireland cha mambo ya Tiba . Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.

(3) Hatua ya tatu mbadala wa ya (2)
Nayo inaelezea kuwa ni kunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni. Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Mungu. Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukari.

Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua hatua hizi za tiba ya Cancer.

Ajulishae jambo la heri ni kama aliyelifanya, katika kupata baraka (thawabu).
 
Kumbe napaswa kufa kwa maradhi yapi? Au nikiepuka cancer ndio sifi tena?
 
Maelekezo yako hayajitoshelezi, kansa ina hatua na aina tofauti tofauti na kusababishwa na vitu tofauti tofauti, sasa hizo tiba zako zinatibu aina gani ya kansa na zikiwa stage ipi, tafadhali dadavua kwa maslahi ya wengi.

Pili uchunguzi unaouzungumzia uliofanyika Ireland ni upi na chuo kipi? Tuwekee reference ili nasi tuweze kwenda kujisomea kuhusu hyo tafiti. Wasalam
 
Maelekezo yako hayajitoshelezi,kansa ina hatua na aina tafauti tafauti na kusababishwa na vitu tafauti tafauti,sasa hizo tiba zako zinatibu aina gani ya kansa na zikiwa stage ipi,tafadhali dadavua kwa maslahi ya wengi.
Pili uchunguzi unaouzungumzia uliofanyika ireland ni upi na chuo kipi?,tuwekee reference ila nasi tuweze kwenda kujisomea kuhusu hyo tafiti.wasalam
Hiyo ni kansa za aina zote tiba yake ni moja.
Kuhusu stage ni stage zote.kumbuka kuwa hata malaria ikiwa kwenye stage mbaya haitibiki.
Au tuseme ugonjwa wowote ukiwa kwenye stage mbaya kupona ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.
 
MATIBABU YA KANSA
"""""""""""""""""""""""""""""""""
Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa ispokua ni kwa uzembe wake.

(1) Hatua ya kwanza:-
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukari hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.

(2) Hatua ya pili:-
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe ni kitu cha mwanzo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni.
Kwa uwezo wa Mungu cancer itapotea mwilini mwako; kwani bacteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji moto kila siku.
Hii ni kulingana na uchunguzi wa chuo cha Ireland cha mambo ya Tiba . Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.

(3) Hatua ya tatu mbadala wa ya (2)
Nayo inaelezea kuwa ni kunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni.
Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Mungu.
Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukari.

Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua hatua hizi za tiba ya Cancer.

Ajulishae jambo la heri ni kama aliyelifanya, katika kupata baraka (thawabu).
Huu wote ni upotoshaji
 
Back
Top Bottom