Kwanini uchepuke?

Kwanini uchepuke?

Ivi kuchepuka mwanamme ame halalishiwa au na yeye pia ni wrong kuchepuka? mwanamke atachepuka ikiwa humpi time kama mume, ila baadhi ya wanawake wengine wana laana tu yao wenyewe ya kuchepuka na kila mzinzi anakua na mzinzi mwenzie.
 
Bado najiuliza hainingii akilini sababu za mwanamke kuchepuka, kila nikifikiria wengine wanasema pesa kwani ulivyoolewa haukujua kua mchumba wako ni masikini au ulivyomkubalia Kaka wa watu haukujua kua ni hohehae, wengine ugomvi sasa suluhisho la migogoro ni kupeleka kipochi chako kwa mwanaume mwengine. Kinachoniçhanganya zaidi ni pale ukiwafumania atatembea na tako moja, Mara atapiga yowe akiomba samahani huku akisema SHETANI KAMPITIA shubamiti kabsa umemfungulia pochi mwanaume mwengine Mara 5 unasema shetani kafanya nini??. Sasa maajabu ni pale anatokea mwanaume anasema. msamehe, hivi nyie wanawake ni moto wa aina gani unawafaa hapa duniani na huko jehanamu.
Sawa anakiwa hana pesa na umemkubali ila hata akipata izo za msim ahudumi familia yake ipasavyo kama baba wa familia
 
Pole sana...

Mwanamke kuchepuka ni kapenda, ila kwa mwanaume ni tamaa...

Hizi mada aisee, wewe unalalamika mwanamke kuchepuka, mwingine analeta ya kuchepka kwa makusudi...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom