Kwanini U.S.A inaitwa Marekani?

Kwanini U.S.A inaitwa Marekani?

Wakikujibu nitag mzee!

Niliwahi kuwauliza watu wa Baraza la Kiswahili hili swali mara MBILI tofauti, sidhani kama waliwahi kunipa jibu la kueleweka.
MAREKANI jina limetokana na neno AMERICAN Sasa waswahili neno hilo kulitamka kiswahili wakaondoa hiyo A ya mbele likabaki neno MERICAN sasa kulitamka kiswahili ndio ikawa MAREKANI.
by YEHODAYA {PHD in KISWANGLISH}
 
kitu cha kwanza muuliza swali unajichanganya ndo maana unachanganyikiwa , jinsi ulivyo tengeneza swali ndo kuna kuchanganya ! iko hivi . Marekeni kwa KIZUNGU ni AMERIKA. mtu kutoka marekeni anaitwa kwa kizungu AMERICAN. sasa hapo kwenye american ndo waswahili '' fasta '' wakakuita AMERIKA kama MAREKANI. na EGPTY nadhani ni kiingereza na kiswahili au kiarabu ni MASRI n.k
 
Acha uongo;

Tanzania hutamkwa tofauti kwa lugha nyingine.

Mfano;


Kichagga: Tansania


Kifaransa: Tanzanie
 
UAE = United Arab Emirates (Umoja wa Falme za Kiarabu)
USA = United States of America (Umoja wa Nchi za Amerika)
URT = United Republic of Tanzania (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
 
kuna movie nilicheki, ni ya kimexico, na katika kutamka hii 'jesus' hawakusema 'geezaz' kama ilivyo ada bali walikua wakisema 'yehsoos' ambayo kwetu ni yesu

katika baadhi ya utamkaji 'j' inakua 'y' kama 'halelujah' inakua haleluyah

Jesus inatamkwa Hesus kwa Kihispania ?
 
Hujawahi kuvuka boda mkuu
Tanzania huko nsumbiji inaitwa tanzanie`
 
ushawaji jiuliza kwa nini URT inaitwa tanzania,
 
Mkuu muulize kwa nini Peter kiswahili ni Petro na kifaransa ni piere` . Hizi ni lugha mbili tofauti kiswahili lingered na kifaransa maudhui na asili ya lugha ndiyo ina detrmine majina ya vitu nchi na lafudhi yake.
 
Naona unatafuta majibu ya homework
 
watu wa mbeya ukiwa dar wanasema upo kumbwani yaani pwani je ukilizwa pwani ni dar?
 
Hata lugha zingine zinatumia majina ya nchi zingine tofauti na wenyewe wanavyojiita kiingereza.

Mfano, sisi tunasema England... Uingereza lakini mfaransa anasema Anglettere na Mrusi anasema Англия (Anglia).

Kuna nchi kweli majina ya nchi zake hayajabadilika pamoja na kutumia lugha nyingine, lakini zipo zingine majina ni tofauti kabisa na jina original.
 
Back
Top Bottom