Kwanini U.S.A inaitwa Marekani?

Kwanini U.S.A inaitwa Marekani?

Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransank.
USA kuitwa marekani huenda ni kwasababu wao hujiita American hivyo hilo jina liliposikika kwa waswahili ikawa rahisi kutamkika marekani, Misri hili jina yawezekana lina historia, ufaransa ni kama marekani tuhuenda mara ya kwanza kusikika matamshi yake yalisikika kama ufaransa..sawa kabida na german ambao wanatqmkwa kama jeruman

Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
.
Wamarekani wanajua, ndio maana hata matangazo yao utasikia kwa msaada wa watu wa marekani na ni muhimu kwao kujua
Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo

lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
si kweli...majina mengine hubadilika kutokana na rafudhi na mfumo wa lugha yao ulivyo, mfano mdogo nchi ya urusi, kwa watumiaji wa kingereza wanaitamka kama rashia, waswahili tunaiita urusi na wao waita rusia....lakini pia kuna nchi ambazo ziliingiliana muda mrefu na zikapewa majina na wenyeji yasiyoendana na nchi zao..mfano ureno ni portugue hilo jina yawezekana walipewa tu na watumia kiswahili
 
Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?

Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?

Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo

lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.

Duuu !!, maswali mengine bwana majibu yake ni magumu.

Mifano:-
This tree=mti HUU
This house= nyumba HII
This man=mtu HUYU
Ukiangalia hapo katika hizo sentensi, unakuta kuna huu,hii,huyu.,lakini katika kiingereza (English) limetumika neno moja tu "This" kuleta maana ile ile kwanini imekuwa hivyo katika kiswahili.??
 
Yaelekea hukusoma history ya advance.basi bwana bara LA america lilikua maarufu kwa uhuzaji wa vitambaa maarufu kama marikani.nadhani umaarufu wa io bidhaa ndio ikapachikwa marekani na hii ni pia kutokana na mabadiliko ya matamshi au lafudhi
 
Mimi nadhani haya masuala ya majina huitwa kulingana na Structure, Syntax na Sematic ya lugha husika. Mfano hata majina ya watu utaona yale ya kiebrania au kiingereza yana kiswahili chake. Mfano John=Yohana, James=Yakobo, Jesus=Yesu.
James - James
Jacob - Yakobo
C(K)atherine - Katarina
Rachel - Raheli

America - Marekani (zamani hakukuwa na utambulisho wa USA kwa waafrika ndio maana Africa nzima tunalitumia zaidi America).
UK - Uingereza (Umoja wa Kiingereza, kutokana na walivyojitanabahisha - mapokeo)
French/France - Ufaransa (mapokeo)
 
Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?

Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?

Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo

lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
Ushajiuliza kwanini Peter anaitwa Petro, Eve anaitwa Hawa, Moses anaitwa Musa
 
James - James
Jacob - Yakobo
C(K)atherine - Katarina
Rachel - Raheli

America - Marekani (zamani hakukuwa na utambulisho wa USA kwa waafrika ndio maana Africa nzima tunalitumia zaidi America).
UK - Uingereza (Umoja wa Kiingereza, kutokana na walivyojitanabahisha - mapokeo)
French/France - Ufaransa (mapokeo)
Sio England = Uingereza
 
mm nayofikiri neno hutamkwa kutokana na mazingira jinsi wanavyopokea na hayo hayo hayo maneno yanahitaji marekebisho kueleweka kwa wote mfano hivi mimi ni mbantu akija mzungu lazima kuna baadhi ya neno ni kate ili atambue na maanisha nn ila maana ni ile ile moja ivyo mm nafikiri mapokez ya mazingira yanachangia lugha kuleta maana tofauti na kuleta jibu lilelile moja
 
kwanini digital=digitali walitafuta namna bora ya kutohoa neno lisomeke kisukuma zaidi
 
Egypt = Misri. Ni neno lililotokana na lugha ya kiarabu wao huita Masri. Na kama ujuavyo Kiswahili kimejaa maneno ya Kiarabu.
 
kuna tofauti gani ya england, united kingdom(uk) na great britain

Ni hivi, UK ni United kingdom ambayo inaunda England,Scotland, Wales na Northern Ireland. GB ni Great Britain ambayo inaunda England,Scotland na Wales.

Ukisema Ireland hapo kuna Northern Ireland ambayo ni sehemu ya UK, na Jamhuri ya Ireland ambayo ni nchi inayojitegemea.(iko peke yake).
 
Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?

Wenyewe wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?

Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo

lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
Kijerumani ( Deutsch );
Tanzania - Tansania
Kenya- Kenia
Kifaransa;
Tanzania - Tanzanie
Uganda - Ouganda

America;
Swahili - Marekani
Korean - Mingu
 
Kwanini Jesus anaotwa Yesu...hili yesu lilitoka wapi?

kuna movie nilicheki, ni ya kimexico, na katika kutamka hii 'jesus' hawakusema 'geezaz' kama ilivyo ada bali walikua wakisema 'yehsoos' ambayo kwetu ni yesu

katika baadhi ya utamkaji 'j' inakua 'y' kama 'halelujah' inakua haleluyah
 
Kwa Marekani ni rahisi, American ndio chimbuko la Marekani yaani Uamerikani.
 
Kwa nini USA inaitwa Marekani, au Egypt inaitwa Misri.au France inaitwa Ufaransa?
Kiswahili sio lugha ya asili. Ni zao la muunganiko wa lugha mbali mbali za kibantu, Kiarabu, Kijerumani na Kiingereza kwa uchache.
Baadhi ya maneno ya kiingereza yalichukuliwa na kuingizwa kwenye kiswahili bila kufsiriwa na mengine yalipata Tafsiri. America ni moja wapo ya neno la Kiingereza ambalo lilipatiwa Tafsiri ya Kiwahili na kuitwa Marekani. So hakuna sababu ya kutumia America.

wanajua haya majina ya nchi yao yanayotumika huku?
Sio rahisi kuyajua kama hawajui Kiswahili. Kama mzungu amejifunza kiswahili, lazima atakuwa anajua kuwa America kwa Kiswahili inaitwa Marekani.

Kwa nini majina ya nchi zingine yanabaki hivyo hivyo ,mfano ukisema Tanzania dunia nzima wanaita hivyo, Kenya dunia nzima wanaita hivyo

lakini ukija U.S.A huku kwetu tunaita Marekani, Turkey huku kwetu tunaita Uturuki nk.
Majina hayo yanabaki hivyo kwa kuwa yamekosa tafsiri ya lugha husika.
Na si kweli kwamba Tanzania inajulikana hiyo kwa lugha zote. Kuna nchi nyingine Tanzania huitwa Tanzanie!
 
As argued by several authors "Huko shule mlienda kusomea ujinga" (Faiza fox et al., 2015)
 
Baraza la kiswahili naona tuna wachekeshaji tu huko. Hebu angalia baadhi ya vichekesho; aluminium -jaribosi; live- mubashala nk. Jamani tukikosa Maneno yenye kuleta radha ya kutamka tunaweza kulitumia neno kama lilivyo kuliko kuchekesha watu walionuna!
 
Magufuli ana sababu nyingi Sana za kutosafiri kwenda ulaya kama watu anaowaongoza ni illiterate kiasi hiki.

Utaendaje kusimama mbele ya akina Putin na Trump na kujinasibu ni rais ikiwa asilimia 70 mpaka 80 ya watu wako unaowaongoza badala ya kufikiria teknolojia mpya wanafikiria majina ya nchi? Ni matumizi mabaya ya akili

Magu nakuelewa tubane Sana akili zifunguke we are too spoilt.
 
Back
Top Bottom