MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,517
- 39,090
Achana na mapokeo, tafakari kwa akili yako ya kawaidaHii ni mada ya Pili unazungumzia wanawake. Bila sisi Dunia ingekuwa pweke na JF ingepoa. Kiufupi, Hawa aliumbwa na Mungu amsaidie Adam. Kuna vitu ukipingana navyo unapingana na asili ya uumbaji wa mwanamke. Man Will be a man. Woman Will be a woman.
Hakika mkuu umeliweka vyema kabisaKuhudumia Wanawake ilikuja Baada ya kuzuka wanaume wasiojiamini, mara nyingi sura personal na madomo zege.
Ila kikawaida hakuna msamiati wa kuhudumia kwenye familia ya Watu wanaopendana
😪😪That's why
wazee wa mteremko wao ulenga pa kulelewa, wengine wameleft group kabisa[emoji4]
HILI NDIYO TATIZOPengine tumeshindwa ku-control nyege zetu,
HakikaHata ndege wote baba anajilisha mama anahangaika na familia.
Me tuliumbwa tupitie shurba ila tule bata tukizipata ila ke ni shurba mwanzo mwenga. Sahivi tu system imetwistiwa kijanja
Kwa kifupi hawauzi na wala hawatoi bure, akili kichwani kwako.Mkuu,
Zama Hizi, ukiwa mwanaume mahusiano lazima uyatengee bajeti inagoma, Bora kanunue kimboka.
Hakuna KE atakaekupa uvungu bure.
Hata ukikaza fuvu asipomhudumia leo
Kesho utapigwa tukio kufidia ya nyuma.
Mahusiano yamegeuka biashara
That's why
wazee wa mteremko wao ulenga pa kulelewa, wengine wameleft group kabisa[emoji4]
Hao ni Marioo siyo wanaume, ukitamani kuhudumiwa ni mwanzo wa kutamani kuolewa kabisa baadaye unaleft group ili ule kwa ulaini.Wanaumeeee....Mpo tayari kuhudumiwa?????
Wanaokubali waseme ndiooooo.!!
Wasalaam wana JF
Mwanadamu amepewa akili ili imsaidie kuhoji na kuboresha maisha yake. Ikiwa kama utaruhusu akili yako ifanye kazi, bila kutingwa na influeence nyingine, kama mapokeo, mazoea na sheria basi ni vyema tuhoji kwanini tuwahudumie wanawake?
Kwa kuanza tafakarii hii lazima tujue sisi, binadanu ni wanyama, je wanyama wenzetu wanafanyaje (hapa tuna benchmark). Simba ambao wako on top of the food chain wanaweza wakawa ni mfano mzuri. Kimsingi, hawafanyi hivyo.
Sasa sisi binabamu huu upuuzi, tumeutoa wapi?
Pengine tumeshindwa ku-control ashki zetu.
labda ni issue ya demand and supply.
labda ni issue ya competition.
Labda ni issue ya kuwa possessive.
Kimsingi, jambo hili haliingi aklini, inakuaje mtu mzima akae tu, asifanye kazi alafu mtu mwingine afanye kazi na amuhudumie. Akili ya kawaida inakataa. Kuna vitu vingi sana katika struggles za mwanadamu vimewekwa kipuuzi kuchochea uzembe na uvivu. Tafakari, chukua hatua.
Hata ndege wote baba anajilisha mama anahangaika na familia.
Me tuliumbwa tupitie shurba ila tule bata tukizipata ila ke ni shurba mwanzo mwenga. Sahivi tu system imetwistiwa kijanja
Na wanawake wanadai kabisa kuhudumiwa kama vile ni haki yao, sijui huu ujinga wametoa wapi...
NdiooooooooWanaumeeee....Mpo tayari kuhudumiwa?????
Wanaokubali waseme ndiooooo.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaumeeee....Mpo tayari kuhudumiwa?????
Wanaokubali waseme ndiooooo.!!