Kwanini tuwachukie wayahudi?

Kwanini tuwachukie wayahudi?

Quran haijawahi kukosea.
Yesu hakusulubiwa Wala kuuawa bali walibabaishwa Kwa mtu mwingine
 

Attachments

  • Screenshot_20251024-014212.jpg
    Screenshot_20251024-014212.jpg
    205.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20251024-014238 (1).jpg
    Screenshot_20251024-014238 (1).jpg
    80.2 KB · Views: 13
kaanani ni iraq au siyo kwa mujbu wa biblia wayahudi au waisrael wana wa yakobo walikuwepo kwny miji ya bethlehemu, yerusalem, jordan nk sa huko iraq
Kasome vizuri biblia, Abraham alitokea Ur ya wakaldayo ambayo ni Iraqi ya Sasa. Kumbuka Abaraham ndio alipewa canaan hivyo naye alikua ni mhamiaji tu kutokea uarabuni huko.

Jina la canaan linatokana na mjukuu wa Ham, na ndio walikua wanatawala miji yote 13 ikiwemo hiyo Jerusalem. Kasome Mwanzo 12 na 13 utaona Abraham alikutana na mfalme wa Jerusalem miaka kibao kabla ya Israel kuanzishwa.
 
Back
Top Bottom