Kwanini tuwachukie wayahudi?

2) Nani mmiliki halali wa Yerusalemu, Bethlehemu, na nchi hiyo kwa ujumla kati ya Wayahudi na Waarabu?

3) Utawala wa Daudi na Suleman ulikuwa wapi kihistoria?

4) Daudi na Suleman walikuwa ni Waarabu au Wayahudi?
Ndio walikua hapo Palestina ila si baada ya kuiteka na kuikalia kimabavu kwa miaka 1000+ sawa na waingereza walitutawala Tanzania ila haimaanishi WaTanzania hawana hali ya utaifa wao eti kisa kabla ya uhuru hakuwahi kuwepo taifa linaitwa Tanzania!! Utakua utetezi wa kipumbavu sana.

Hizo tawala za hapo zilikuwepo hata kabla Yakobo hajazaliwa, Abraham mwenyewe alikutana na Mfalme wa Jerusalem na alikua mcanaan sasa unaweza ona nani muasisi na nani mvamizi
 
Tuwaue Mayahudi ili kiyama kifike 🤣🤣🤣

People still believe that shit?
Ktk vitu wakoloni walifanikiwa ni kupandikiza chuki za kidini kwa waafrika, utashangaa jitu la Tanzania linaijua history ya Saudi Arabia na iyo fake Israel mwanzo mwisho lakini haliijui hata history ya babu zake wa vikazi 5 nyuma.

Waarabu ni wajinga hapa duniani lakini watu weusi wa Afrika ndio jamii ya Hovyo kuliko.
 
Waisrael gani kwanza unawazungumzia? Hao machotara? Mimi ni mkiristo na nawajua israel wa sasa ni akina nani! We endelea kuwapenda hao wafuasi wa ushogo na kila aina ya chukizo!
 
Kwa kuandika hv bac unajiona mtu makiniii!
 
Kwani wao wanatupenda?
 
Kwahiyo hamu ya waislamu ni kiyama kifike sio???
 
huo utajiri ni kwa neema ya Mungu kwa wamataifa, still laana ipo palepale kwa mataifa hayo. nani kakuambia walutheri na wakatoliki wana utakatifu? Wale wanajiendea wenyewe na mambo yao ya kujitukuza
 
Unapata shida sana na uislam 🤣🤣🤣.
Mungu wenu aliitwa mtoto wa MALAYA na wayahudi ila bado mnawapenda.cha ajabu wao hawawapendi
 
Wanapenda TUWACHUKIE

Quran Yao inawaambia Sisi na wayahudi ni marafiki ,

Sijui Huwa hawaelewi
 
Ashkenazi (Wayahudi wa Ulaya Mashariki na Kati)
• Wengi walitoka Poland, Russia, Ukraine, Lithuania, Belarus, Germany na sehemu nyingine za Ulaya Mashariki na Kati.
• Hawa ndio Wayahudi waliokuwa sehemu ya aliyokuwa Diaspora ya Ulaya Mashariki, wengi walikuja Israel baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia na Holocaust.

Sephardic (Wayahudi wa Hispania na Portugal)
• Walianza kuhamia baada ya kufukuzwa Hispania 1492 na Portugal.
• Baadaye walisambaa katika Maguo ya Kiarabu, Mashariki ya Kati, na Afrika Kaskazini.
• Wakati wa kuunda Israel, wengi walihama kutoka Morocco, Tunisia, Algeria, Iraq, Syria, na Yemen.

Mizrahi (Wayahudi wa Mashariki ya Kati na Asia ya Kati)
• Wametoka Iraq, Iran, Syria, Lebanon, Egypt, Yemen, Morocco, Ethiopia, na Mataifa ya Asia ya Kati.
• Hawa ni Wayahudi wa jadi wa Mashariki ya Kati (oriental Jews), tofauti kidogo na Ashkenazi na Sephardic.

Beta Israel (Wayahudi wa Ethiopia)
• Wametoka Ethiopia, na wengi walihamia Israel katika operesheni ya kijeshi na kibinadamu mnamo miaka ya 1980–1990.

Wahamsini / wengine wa asili mbalimbali
• Baadhi ni Wayahudi waliotoka Amerika Kaskazini, Amerika Kusini, India, na mataifa mengine.
• Hawa ni wachache kulinganisha na makundi makuu ya Ashkenazi, Sephardic, na Mizrahi.

Benjamin Netanyahu ni Myahudi wa Ashkenazi, na familia yake ikitoka Ulaya Mashariki, hasa Poland, ambapo walikuwa na jina la ukoo Mileikowsky kabla ya kuhamia Palestina mnamo miaka ya 1920. Alikulia katika familia isiyo ya kidini ya Ashkenazi, na asili hii inathibitishwa na vyanzo vingi, ikiwemo maelezo ya kisiasa kumuelezea kama Myahudi wa Ashkenazi.

Baba wa Netanyahu, mwanahistoria Benzion Netanyahu, alizaliwa Warsaw, Poland. Babu yake alikuwa rabbi na mwandishi wa Zionist kutoka eneo la Belarus na Lithuania.
• Mama yake, Tzila Segal, alizaliwa katika kile kilichokuwa Palestina chini ya uangalizi wa UK, lakini familia yake ilihama kutoka Lithuania mwishoni mwa karne ya 19

Mnamo 2016, Netanyahu alidai hadharani kuwa na mizizi ya Sephardic kutoka Hispania, lakini hii inaonekana kama mkakati wa kisiasa badala ya kuonyesha asili yake kuu, kwani kabla ya hapo, alionekana kuwa Ashkenazi kikamilifu, kama waziri mkuu wengine wa Israeli. Kipimo cha DNA cha kaka yake kilithibitisha kuwa asili yake ilikuwa kubwa kwa Ashkenazi na tu kidogo cha Sephardic.
 
Wakristo ndio wanaongoza kwa kuwauwa na kuwatesa Wayahudi kuliko dini nyingine yeyote .

Ulaya miaka ya nyuma kulikuwa na Sheria nyingi kandamizi na mauji ya kutisha bila ya sababu za msingi kwa Wayahudi.

Sema Qu'ran inasemaje kuhusu makazi ya Wahayudi
 
Safi sana mkuu, una akili mno.
Sio huyo mwingine bila kuongelea uislamu, siku yake haiendi vizuri.
Ni chuki tuuh zina muendesha ila ukweli anaujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…