hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,639
WAISLAMU WANATAKA TUWACHUKIE WAYAHUDI
Wanatulazimisha Wakristo tuwachukie Wayahudi na tuwaue kama wao walivyoamrishwa kuwaua.
Maana riwaya zao zinawaambia kuwa Kiyama hakiwezi kuja hadi Waislamu wawaue Wayahudi wote duniani. Muislamu anayefuata dini kamwe hawezi kuwapenda Wayahudi. Ndio maana makundi kama Hezbollah, Hamas wote wana kauli mbiu ya kuwafuta Wayahudi duniani. Na Iran pia imetamka mara nyingi tu kuwafuta Wayahudi duniani. Na hilo ndio tamanio la kila muislamu. Myahudi akipigwa ndio furaha yao. Hata zama za mfalme Ahusuero wa Uajemi aliinuka mtu anayeitwa Haman na kutaka kuwafuta Wayahudi wote duniani lakini aliishia kufa yeye na watoto wake na wote walioshiriki naye.
Sababu za Waislamu za kutaka tuwachukie Wayahudi
1) Wayahudi walimuua Yesu na manabii
2) Wayahudi wanauchukia Ukristo
3) Wayahudi ni wadhalimu
Najibu hoja hizi tatu kwa ujumla:
Tunalijua hilo na sio kazi yetu kuwachukia. Huo ni ugomvi wao na Mungu. Na ninaona hiyo sio sababu kwenu ya kuwachukia, ni zuga tu, mimi naona sababu ya kuwachukia Wayahudi ni kwasababu walimuua mtume wenu Muhamad kwa sumu na Muhamad akawalaani siku ya kufa kwake tena alituunganisha nasi katika laana hiyo basi mnataka nasi tuungane nanyi kwenye chuki na vita hiyo. Mshindwe.
Mjue kuwa sisi tumekatazwa kulipa kisasi na kuwa na chuki. 1 Yn 3:15. Ni kweli Wayahudi tunatofauti nao kwenye thelojia kuhusu masihi na tumekuwa maadui kwasababu hiyo. Na ni kweli walimkataa Yesu na kutesa Wakristo, ila Yesu aliwasamehe kwa kutojua walitendalo na akatuusia kuwahubiri wa kwanza na kuwapenda ili nao waokolewe. Na upo unabii wa kuokolewa kwao siku za mwisho. Na zaidi Wayahudi ndio Wakristo wa mwanzo kabisa. Maana Yesu na mitume wake walikuwa Wayahudi na zaidi 99% ya manabii ni Waisraeli. Na Waisraeli hawajaanza ukorofi leo, ni toka Yakobo baba yao.
Mungu hajawatupa Wayahudi wala hawachukii wala hajawaacha. Mtume Paulo anasema:
Rum 11:1-5 SUV
[1] Basi, nauliza, Je! Mungu aliwasukumia mbali watu wake? Hasha! Kwa kuwa mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila ya Benyamini. [2] Mungu hakuwasukumia mbali watu wake aliowajua tokea awali. Au hamjui yale yaliyonenwa na maandiko juu ya Eliya? Jinsi anavyowashitaki Waisraeli mbele za Mungu, [3] Bwana, wamewaua manabii wako, wamezibomoa madhabahu zako, nami nimesalia peke yangu, nao wananitafuta roho yangu. [4] Lakini ile jawabu ya Mungu yamwambiaje? Nimejisazia watu elfu saba wasiopiga goti mbele ya Baali. [5] Basi ni vivi hivi wakati huu wa sasa, yako mabaki waliochaguliwa kwa neema.
Kuhusu kuwaombea alisema:
Rum 9:1-5 SUV
[1] Nasema kweli katika Kristo, sisemi uongo, dhamiri yangu ikinishuhudia katika Roho Mtakatifu, [2] ya kwamba nina huzuni nyingi na maumivu yasiyokoma moyoni mwangu. [3] Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili; [4] ambao ni Waisraeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake; [5] ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili.
Na tena,
Rum 10:1 SUV
[1] Ndugu zangu, nitakayo sana moyoni mwangu, na dua yangu nimwombayo Mungu, ni kwa ajili yao, ili waokolewe.
Hivyo mkristo wa kweli akiwachukia Wayahudi kwasababu ya maovu yao na akiungana na mataifa kuwaua au kuwaangamiza basi huyo sio mkristo. Na sio kwamba Wakristo wanapenda madhulumu kwa Wapalestina bali wanaona Wapalestina ndio walioanza madhulumu toka 1948. UN iligawanyisha nchi hiyo na wao walipokea eneo kubwa lakini wakalikataa na wakata nchi yote. Hivyo wakaungana na Waarabu wenzao kutaka kuwafuta Wayahudi. Wakashindwa mara kwa mara na kujikuta wamepoteza badala ya kupata. Sasa wanaangaika kurejesha walichokipoteza bila mafanikio. Na Wayahudi hawawaamini tena maana walishaonesha hila dhidi yao.
Hoja nyingine za Waislamu
1) Hao sio Wayahudi ni wazungu
2) Wauaji
3) Mashoga
4) Wamepora ardhi
1) Wamesahau Umar ibn Kattab alikuta Wayahudi Yerusalem akaweka mkataba wa amani kati ya Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Wamesahau kuwa Suleman Magnificient Sultan wa Othoman mnamo karne ya 16 aliweka kanuni ya kuishi kwa Wakristo, Wayahudi na Waislamu katika mji wa Yerusalemu na miji mingine. Na mnamo 1917 wakati Greater Britain imeitwaa Yerusalem na levant kwa ujumla nao waliweka kanuni hiyo hiyo ya Wakristo, na Wayahudi na Waislamu kuishi kwa uhuru. Kama Wayahudi ni wazungu wa Ulaya hao ambao Umar, Suleman na Britain waliwakuta walikuwa ni wazungu wa wapi?
Ni kweli wapo Wayahudi walitoka Ulaya kuja hapo hasa baada ya vita vya kwanza na vya pili. Pia watu wasisahu kuwa wapo Wayahudi ambao walitokea Afrika kaskazini, Iraq, Ethiopia, Sudan, Yemen, Oman, Iran, Syria baada ya kufukuzwa na Waarabu. Je tuseme nao ni wazungu?
Watambue tu Wayahudi walitawanyika duniani hata kabla ya kuzaliwa kwa Yesu. Waliishi Ulaya (Rumi, Spain na Ugiriki) zama hizo. Hata Muhamad anazaliwa anawakuta Wayahudi Hejaz wakiwa wanamiliki uchumi na baadae akapigana nao na kuwafukuza huko. Je nao walikuwa ni wazungu?
2. Hoja ya pili, Wayahudi kuua hawajaanza leo, hata Canaan waliipata kwa kuua wenyeji. Kina Musa, Yoshua, Daudi waliua sana tu. Ingawa Ukristo umekataza yote hayo lakini wao hawafuati ukristo bali agano la kale ambalo linatoa kibali kuua adui yako. Sasa hapo utawahukumuje?. Na ninyi Waislamu mbona nanyi mnaua maadui zenu kwa kuwaita makafiri? tena mnafurahia sana vifo vya Wayahudi. Hivyo ninyi ni walewale tu tena wabaya zaidi ya Wayahudi katika eneo hilo.
3. Dhambi ya ulawiti na ufiraji haijaanza leo, Wayahudi walishaifanya kitambo sana kabla ya Kristo. Na sisi hatuungani na hayo ila yapo duniani ikiwemo hapa Tanzania. Hata hapa Dar tuna kina anti Abuu, Abdalah, Umar nk. Mbona hamuwaui?. Na ufiraji ulitamalaki katika bara Arabu toka kitambo. Na zipo riwaya kibao za mashia na masuni zikiruhusu ufiraji na ulawiti. Maandiko ya Kiyahudi hayaruhusu ushoga ila wapo Wayahudi waasi wanaoruhusu hayo na wapo wanaopinga kama Orthodox Jews.
4. Hawajapora bali ni eneo waliloishi toka kitambo na hawajawahi kuondoka wote hapo katika historia. Waarabu ndio waporaji na wezi wa maeneo ya wengine. Na tunawaona leo Ulaya huko wakilazimisha sharia law. Waarabu/Waislamu walipora Misri, North Afrika, Syria, Iraq, Yerusalemu/Israeli, Anatolia nk na kuweka utawala wao. Wayahudi hawajawahi pora ardhi daima wanang'ang'ania eneo la historia yao basi.
Mwisho: Chuki iwe juu yenu ninyi, sisi sio kazi yetu ama wito wetu. Wito wetu ni kuwaombea waokoke na sio kuwafisha. Imeandikwa:
Rum 11:11-12 SUV
[11] Basi nasema, Je! Wamejikwaa hata waanguke kabisa? Hasha! Lakini kwa kosa lao wokovu umewafikilia Mataifa, ili wao wenyewe watiwe wivu. [12] Basi, ikiwa kosa lao limekuwa utajiri wa ulimwengu, na upungufu wao umekuwa utajiri wa Mataifa, je! Si zaidi sana utimilifu wao?
Na tena:
Rum 11:28 SUV
[28] Basi kwa habari ya Injili wamekuwa adui kwa ajili yenu; bali kwa habari ya kule kuchaguliwa wamekuwa wapenzi kwa ajili ya baba zetu.
Hivyo ni maadui kwa injili ila ni wapenzi (marafiki) kwajili ya mababa. Hata Quran yenu inashuhudia kuwa Wayahudi na Wakristo ni marafiki wao kwa wao. Ikiwataka msifanye urafiki nasi. Quran 5:51
Maswali kwenu
1) Quran inasemaje kuhusu makazi ya Wayahudi?
2) Nani mmiliki halali wa Yerusalemu, Bethlehemu, na nchi hiyo kwa ujumla kati ya Wayahudi na Waarabu?
3) Utawala wa Daudi na Suleman ulikuwa wapi kihistoria?
4) Daudi na Suleman walikuwa ni Waarabu au Wayahudi?