Tumi Lambo
Member
- Oct 21, 2021
- 63
- 27
Daraja halikujengwa kwa kodi wa wananchi, lilijengwa kwa pesa za wafanyakazi waliokua wanakatwa hela zao na kuzihifadhi NSSF ili zije kuwasaidia wakistaafu.
Hakuna pesa ya walipakodi pale. Hivyo lazima ile hela irudi.
Hivi kwa nini tulipe tozo kutumia daraja la KIGAMBONI lilojengwa na siye wenyewe kwa kutumia kodi zetu, hata kama ni mkopo toka nje, huo mkopo unalipwa na kodi zetu. Wakati viongozi wanatumbua kodi zetu na trip za ulaya na malupulupu ya kishenzi hata kulipa mishahara watu hewa na wafu? TUAMKE KABLA AKILI HAZJAFA KWA KULAZWA.
Dah umenikumbusha hii, jamaa alikuwa mwehu sana sasa ukitamka sasa hivi utasikia tunamkumbuka marehemu, wakati jamaa ndio alikuwa binhwa mkaksi anatoa makavu live.Mwamba alisema kama hutaki kulipa ukapige mbizi
Dah umenikumbusha hii, jamaa alikuwa mwehu sana sasa ukitamka sasa hivi utasikia tunamkumbuka marehemu, wakati jamaa ndio alikuwa binhwa mkaksi anatoa makavu live.
Kule Kagera wakati wa maafa ya tetemeko akawaambia kwani mie ndio nimeleta tetemeko😃😃 Ila wajinga wanamsifia tu.
Nimetembea sana na kuvuka madaraja makubwa zaidi na ya gharama zaidi bila kulipa kodi, naishi Edinburgh.Duniani hakuna cha bure mzee
Tembea uone
Ova