Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Ubaguzi dhidi ya weusi nchini Marekani ni suala ambalo limekuweko karne na karne tangu kuanzishwa biashara mbaya ya utumwa.
Najua sio weusi tu hubaguliwa nchini Marekani bali hata watu wa asili ya Asia na Uhispania. Ila kwa watu weusi imekuwa too much.
Napendekeza tufanyeni maandamano ya Amani mpaka ofsi za Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Na hii ifanyike ikiwa na lengo moja la kusisitiza waliohusika na mauaji ya George wachukuliwe hatua.
Nawakilisha.