Kwanini tusi kubwa la watu ni utupu wa mwanamke?

Johede

Senior Member
Jul 5, 2016
110
68
Habari wana JF,

Kuna kitu kinanitatiza sana hivi kwanini watu wengi wakitukana wanasema ku****yo yaani wanatumia sehemu za siri za wanawake kama tusi kwanini wasitumie sehemu za siri za wanaume kwa mfano bo*****ko.
 
Sababu mtu akikutukania mama yako inauma zaidi kuliko chochote. Katumia hicho kiungo kukupata, umepitia hicho kiungo kuzaliwa, huyo mwenye kiungo kakunyonyesha, kakulea, kakuuguza, kakupeleka shule, kakukuza mpaka ukaoa, ukazaa na wewe. Je mtu akutukanie hilo neno utajisikiaje? Anayefikia kukutukania hilo kama havuti banghi, hajalewa kupindukia, ujue hakulelewa na mama yake au katupwa mtaani na mama yake.
 
Sikutarajia kutamka hayo uliyoandika lakini nimejikuta nimetukana pasipo ridhaa yangu
 
Sababu mtu akikutukania mama yako inauma zaidi kuliko chochote. Katumia hicho kiungo kukupata, umepitia hicho kiungo kuzaliwa, huyo mwenye kiungo kakunyonyesha, kakulea, kakuuguza, kakupeleka shule, kakukuza mpaka ukaoa, ukazaa na wewe. Je mtu akutukanie hilo neno utajisikiaje? Anayefikia kukutukania hilo kama havuti banghi, hajalewa kupindukia, ujue hakulelewa na mama yake au katupwa mtaani na mama yake.
well said,

ungekua karibu yangu ningekupa zawadi ya kiss
 
Kwa sababu kila fikra ya mtu kwa asilimia kubwa ndo kitu anachowaza ndo maana tusi likimtoka ni hilo hilo alokuwa anawaza
 
Ajabu hata wanawake wenyewe baadhi hupenda kutumia tusi la aina hiyo sijui kuna siri gani
 
mimi mwenyewe nashangaa sana
kwanini wasiseme tupu za wanaume?!!
kwa sababu bila tupu ya mama ako usingekua duniani
bila tupu hio hio usingekua na watoto wako
pia tupu hio hio ndio inakufanya ujione mwanaume kamili
au mwanammke kamili
tupu hio hio ukiimiliki unaheshimika mno... na ndio malengo ya walio wengi
sasa sielewi kwanini inashushwaga thamani kiasi hicho..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom