Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,378
- 2,393
Miongoni mwa malengo ya ndoa ni kuhifadhi nasaba,wewe leo unafamilia yako na ukoo wako kuna unaye muita baba,baba mdogo,baba Mkubwa,shangazi,kaka,Dada na wengineo yaan ndugu zako.
Hii yote imetokana na mkataba(yaan ndoa) uliofungwa baina ya wazazi wako.
Hata kama utasema huoni haja ya kufunga ndoa lakni bado kimaumbile unahitaji kuwa na mwanamke ili uweze kukidhi matamanio yako ya kimwili.Hivyo utahitaji mwanamke wa kuwa naye.
Sasa ni Dada wa nani?,mama wa nani?, shangazi wa nani?,au binti wa nani? ambae mzee wake atakubali binti yake kuwa ni kiburudisho cha jamaa flani ambaye haoni umuhimu wa kuoa
Na kutoka na hilo ndio maana kukawa na ndoa ili kuhifadhi nasaba ya watoto watakao tokana na ndoa na pia heshima ya wanandoa wenyewe.