mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Najaribu kuwaza,
Imekuwa ni ufahari kumuita mtoto jina la kizungu/Middle East miongoni mwetu Waafrika. Lakini wao hawaoni wala hawafikirii kuwaita watoto wao majina yetu. Yaani usikie mfano; Mchina anaitwa Masunga au Mitomingi Ngengemkeni.
Kuna jamaa wa dini nao wameibuka eti ukimuita mtoto wako jina la ukoo au la kiafrika atakuwa na mizimu! Tatizo nini, au ndio mabaki ya ukoloni.
JINA LINAMADHARA SANA KISAIKOLOJIA NA KIFIKRA.
Karibuni wakuu