Leo Utasimama wapi useme eti January Makamba hana uwezo ???, Kapewa Ubunge kisa Baba Yake !!Sote Tunajua Makamba yupo Makini halina ubishi , Nani atasema Nape kapewa Uongozi kisa Baba Yake alikuwa kiongozi wa Chama ?
Kwa nini Leo useme Godfrey Mgimwa hafai kisa Baba Yake alikuwa Kiongozi ??eti CCM si chama cha Kifamilia ? Tujiulize huyu Kijana anavigezo au hana na kamwe tusimbeze kisa Kajikuta Baba yake alikuwa Kiongozi, Kwa nini Mtoto wa Ngesamburo kuwa Mbunge ni sawa !
Kwa nini Dada wa Tundu Lissu kuwa Mbunge ni sawa !!Kwa nini Mke wa Ndesamburo kuwa Mbunge ni sawa !Kwa nini leo hii Watanzania Tumefikia Mahali Mtoto wa Wasira akichukua fomu kupitia CCM iwe Mtoto wa Kigogo , Akichukua Fomu Kupitia Chadema iwe Mwanamapinduzi ! Ubaguzi Ubaguzi roho ya Kibaguzi, Kwa Nini Ridhiwani Kikwete akionekana anafaa na anataka Kugombea Ubunge tunkatae tu kisa Baba yake ni Rais ?Kwanini Kabila Congo anafanya Vizuri ?Vipi Kenya ?Vipi Bush USA ?
WaMarekani hawana Akili kuchagua Rais ambaye Baba yake alishakuwa Rais !Waingereza na kuendelea Kwao kote wanaamini Tumbo Moja tu ndio lafaa Kuwaongoza , Maana Nimeguswa kila kukicha ni kuwasema Vibaya watoto wa Viongozi wanabebwa ,