Kwanini tunawabeza watoto wa viongozi ?

Kwanini tunawabeza watoto wa viongozi ?

Nyasamaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,055
Reaction score
595
Leo Utasimama wapi useme eti January Makamba hana uwezo ???, Kapewa Ubunge kisa Baba Yake !!Sote Tunajua Makamba yupo Makini halina ubishi , Nani atasema Nape kapewa Uongozi kisa Baba Yake alikuwa kiongozi wa Chama ?

Kwa nini Leo useme Godfrey Mgimwa hafai kisa Baba Yake alikuwa Kiongozi ??eti CCM si chama cha Kifamilia ? Tujiulize huyu Kijana anavigezo au hana na kamwe tusimbeze kisa Kajikuta Baba yake alikuwa Kiongozi, Kwa nini Mtoto wa Ngesamburo kuwa Mbunge ni sawa !

Kwa nini Dada wa Tundu Lissu kuwa Mbunge ni sawa !!Kwa nini Mke wa Ndesamburo kuwa Mbunge ni sawa !Kwa nini leo hii Watanzania Tumefikia Mahali Mtoto wa Wasira akichukua fomu kupitia CCM iwe Mtoto wa Kigogo , Akichukua Fomu Kupitia Chadema iwe Mwanamapinduzi ! Ubaguzi Ubaguzi roho ya Kibaguzi, Kwa Nini Ridhiwani Kikwete akionekana anafaa na anataka Kugombea Ubunge tunkatae tu kisa Baba yake ni Rais ?Kwanini Kabila Congo anafanya Vizuri ?Vipi Kenya ?Vipi Bush USA ?

WaMarekani hawana Akili kuchagua Rais ambaye Baba yake alishakuwa Rais !Waingereza na kuendelea Kwao kote wanaamini Tumbo Moja tu ndio lafaa Kuwaongoza , Maana Nimeguswa kila kukicha ni kuwasema Vibaya watoto wa Viongozi wanabebwa ,
 
Nyasamaki ukanjanja wa kujaza watoto wao uvccm ili wawe watawala ni upuuzi!!mwasisi jkn hakuwa hivyo!shiiit.....
 
Last edited by a moderator:
Hata tanga hawajainua toto linagombea ubunge!!ccm mna laana, ndio kila kukicha mnatusababishia majanga.
 
Tatizo lako undhani sote tunaokosoa tabia ya watoto wa viongozi kubebwa kwenye ajira hadi siasa ni CHADEMA, tumia akili kufikiri, nadhani hata wewe umebewa ndo ukafika hapo ulipo laiti ungepigania nadhani ungekuwa na masimamo tofauti.

Leo Utasimama wapi useme eti January Makamba hana uwezo ???, Kapewa Ubunge kisa Baba Yake !!Sote Tunajua Makamba yupo Makini halina ubishi , Nani atasema Nape kapewa Uongozi kisa Baba Yake alikuwa kiongozi wa Chama ?
Kwa nini Leo useme Godfrey Mgimwa hafai kisa Baba Yake alikuwa Kiongozi ??eti CCM si chama cha Kifamilia ? Tujiulize huyu Kijana anavigezo au hana na kamwe tusimbeze kisa Kajikuta Baba yake alikuwa Kiongozi, Kwa nini Mtoto wa Ngesamburo kuwa Mbunge ni sawa ! Kwa nini Dada wa Tundu Lissu kuwa Mbunge ni sawa !!Kwa nini Mke wa Ndesamburo kuwa Mbunge ni sawa !Kwa nini leo hii Watanzania Tumefikia Mahali Mtoto wa Wasira akichukua fomu kupitia CCM iwe Mtoto wa Kigogo , Akichukua Fomu Kupitia Chadema iwe Mwanamapinduzi ! Ubaguzi Ubaguzi roho ya Kibaguzi, Kwa Nini Ridhiwani Kikwete akionekana anafaa na anataka Kugombea Ubunge tunkatae tu kisa Baba yake ni Rais ?Kwanini Kabila Congo anafanya Vizuri ?Vipi Kenya ?Vipi Bush USA ? WaMarekani hawana Akili kuchagua Rais ambaye Baba yake alishakuwa Rais !Waingereza na kuendelea Kwao kote wanaamini Tumbo Moja tu ndio lafaa Kuwaongoza , Maana Nimeguswa kila kukicha ni kuwasema Vibaya watoto wa Viongozi wanabebwa ,
 
Tatizo lako undhani sote tunaokosoa tabia ya watoto wa viongozi kubebwa kwenye ajira hadi siasa ni CHADEMA, tumia akili kufikiri, nadhani hata wewe umebewa ndo ukafika hapo ulipo laiti ungepigania nadhani ungekuwa na masimamo tofauti

HAYO YAKWAKO WEWE MIMI SI CHADEMA WALA CCM , MIMI NI MTANZANIA
 
Kama Banana anafanya Vizuri Muziki ni kwa kuwa Baba yake ni Mwanamuziki na Kalelewa Kimuzikimuziki, Kama Ukoo wa Matumla wanapigana Familia Nzima ni kwa kuwa ipo kwenye damu na wamelelewa hivyo , sasa watoto wa Viongozi wawe nani ? sisemi ni lazima wote wawe viongozi la hasha , Lakini inapotokea Mtoto wa Kiongozi anataka kufuata Nyayo za Babake mbona inakuwa ishu kubwa ? ni swali la Msingi tu
 
Maisha lazima yaendelee, Hakunaga Msiba wa Mwaka Mzima
 
thank God hujamhusisha le mutuz kwenye mifano sababu yeye na riz1 wanatufanya tupinge mfumo wa ccm kurithisha watoto wao uongozi,hawa ni vichwa maji.
 
nape,makamba wameifanyia nn watanzania,wazaz wao wenyewe hawakufanya lolote ktk nchi hii na ndo washaur wakuu wao sasa tutegemee nn,sasa akili ya kushikiwa ya mzee makamba unataka kufananisha na ndesamburo au rafik yake ndesamburo au akili ya mdogo wake lissu uifananishe na mdogo wake mizengo pinda au shukuru kawambwa una hoja mtoa mada
 
nape,makamba wamewafanyia nn watanzania,wazaz wao wenyewe hawakufanya lolote ktk nchi hii na ndo washaur wakuu wao sasa tutegemee nn,sasa akili ya kushikiwa ya mzee makamba unataka kufananisha na mzee ndesamburo au rafik yake ndesamburo au akili ya mdogo wake lissu uifananishe na mdogo wake mizengo pinda au shukuru kawambwa una hoja mtoa mada
 
mababa zao wenyewe walikuwa bogus wameingia mikataba kibao ya berlin kwenye nchi yetu na hawana uchungu na mateso wanayowapata watanzania hivi anna makinda mwanae aje kuwa speaker wa bunge labda kidogo sita
 
Kwani hyu makamba januari kakufanyia lipi la maana we domokaya???
Kama baba zao walionyesha uzifu sasa tuchague watoto wao wanini wakati vinasaba ni vilevile??
 
Mbona wachadema umetaja lissu na ndesambulo hujamtaja dada zitto au kwasababu zitto ni mbunge kwa tiketi ya mahakama??
 
Leo Utasimama wapi useme eti January Makamba hana uwezo ???, Kapewa Ubunge kisa Baba Yake !!Sote Tunajua Makamba yupo Makini halina ubishi , Nani atasema Nape kapewa Uongozi kisa Baba Yake alikuwa kiongozi wa Chama ?

Kwa nini Leo useme Godfrey Mgimwa hafai kisa Baba Yake alikuwa Kiongozi ??eti CCM si chama cha Kifamilia ? Tujiulize huyu Kijana anavigezo au hana na kamwe tusimbeze kisa Kajikuta Baba yake alikuwa Kiongozi, Kwa nini Mtoto wa Ngesamburo kuwa Mbunge ni sawa !

Kwa nini Dada wa Tundu Lissu kuwa Mbunge ni sawa !!Kwa nini Mke wa Ndesamburo kuwa Mbunge ni sawa !Kwa nini leo hii Watanzania Tumefikia Mahali Mtoto wa Wasira akichukua fomu kupitia CCM iwe Mtoto wa Kigogo , Akichukua Fomu Kupitia Chadema iwe Mwanamapinduzi ! Ubaguzi Ubaguzi roho ya Kibaguzi, Kwa Nini Ridhiwani Kikwete akionekana anafaa na anataka Kugombea Ubunge tunkatae tu kisa Baba yake ni Rais ?Kwanini Kabila Congo anafanya Vizuri ?Vipi Kenya ?Vipi Bush USA ?

WaMarekani hawana Akili kuchagua Rais ambaye Baba yake alishakuwa Rais !Waingereza na kuendelea Kwao kote wanaamini Tumbo Moja tu ndio lafaa Kuwaongoza , Maana Nimeguswa kila kukicha ni kuwasema Vibaya watoto wa Viongozi wanabebwa ,

CCM ni tembo juu ya mti, usipoteze kujiuliza kapandaje mpe muda kidogo tu atajipiga chini.
 
Kama Banana anafanya Vizuri Muziki ni kwa kuwa Baba yake ni Mwanamuziki na Kalelewa Kimuzikimuziki, Kama Ukoo wa Matumla wanapigana Familia Nzima ni kwa kuwa ipo kwenye damu na wamelelewa hivyo , sasa watoto wa Viongozi wawe nani ? sisemi ni lazima wote wawe viongozi la hasha , Lakini inapotokea Mtoto wa Kiongozi anataka kufuata Nyayo za Babake mbona inakuwa ishu kubwa ? ni swali la Msingi tu
tATIZO NDUGU SI MTOTO WA KIONGOZI BALI NI MADHILA ALIYOTUFANYIA HIYO MZAZI WAKE BY THE WAY SOTE TWATAKA KUFANIKIWA NA TUNA SIFA ZINAZOFANANA AU KUMZIDI ILA TU KWA KUW A YEYE NI MTOTO WA KIKWETE APEWE AU WA MKAPA APEWE TU KISA NI MTOTO WA KIGOGO HAYO NDO HATUYATAKI NDUGU
 
Unategemea mtoto wa mkulima atapita kwenye interview ya uaskari sawa na mtoto wa Askari wakati panel yote Inamfahamu mtoto wa askari tokea akiwa kichanga mpaka ukubwani, na walikua wikila na kunywa na babayake?
 
Leo Utasimama wapi useme eti January Makamba hana uwezo ???, Kapewa Ubunge kisa Baba Yake !!Sote Tunajua Makamba yupo Makini halina ubishi , Nani atasema Nape kapewa Uongozi kisa Baba Yake alikuwa kiongozi wa Chama ?

Kwa nini Leo useme Godfrey Mgimwa hafai kisa Baba Yake alikuwa Kiongozi ??eti CCM si chama cha Kifamilia ? Tujiulize huyu Kijana anavigezo au hana na kamwe tusimbeze kisa Kajikuta Baba yake alikuwa Kiongozi, Kwa nini Mtoto wa Ngesamburo kuwa Mbunge ni sawa !

Kwa nini Dada wa Tundu Lissu kuwa Mbunge ni sawa !!Kwa nini Mke wa Ndesamburo kuwa Mbunge ni sawa !Kwa nini leo hii Watanzania Tumefikia Mahali Mtoto wa Wasira akichukua fomu kupitia CCM iwe Mtoto wa Kigogo , Akichukua Fomu Kupitia Chadema iwe Mwanamapinduzi ! Ubaguzi Ubaguzi roho ya Kibaguzi, Kwa Nini Ridhiwani Kikwete akionekana anafaa na anataka Kugombea Ubunge tunkatae tu kisa Baba yake ni Rais ?Kwanini Kabila Congo anafanya Vizuri ?Vipi Kenya ?Vipi Bush USA ?

WaMarekani hawana Akili kuchagua Rais ambaye Baba yake alishakuwa Rais !Waingereza na kuendelea Kwao kote wanaamini Tumbo Moja tu ndio lafaa Kuwaongoza , Maana Nimeguswa kila kukicha ni kuwasema Vibaya watoto wa Viongozi wanabebwa ,

Mkuuu umeongea kitu klichokuwa kinangusa namm moyon mwangu,hapa nnavoona n wapo wachache ambao wanabahat mbaya baba zao hawakuwa vizur upstairs na hawakuwa wapiganaji sasa wamezaliwa ktk familia za ajabu ajab kama mm hapa,wanashindwa kukubali hali waliyonayo na kukomaa ili watoto wao waje wawe proud na wazaz wao wanaanza eneza chuki za kijinga na kipuuuz kwa hawa wenzetu ambao baba/mama zao waliwazid wazee wetu akili na wakajiingiza kwenye siasa na kupata support ya wapiga kura.,,,,...Ebu waTz tuache roho mbaya na chuk zsizokuwa na msingi tuanze kuwabeza baba na mama zetu kwann wao n maskin/hawakusoma kama hao wazaz wa hao tunaowapigia kelele et wanabebwa......!!!
 
nape,makamba wameifanyia nn watanzania,wazaz wao wenyewe hawakufanya lolote ktk nchi hii na ndo washaur wakuu wao sasa tutegemee nn,sasa akili ya kushikiwa ya mzee makamba unataka kufananisha na ndesamburo au rafik yake ndesamburo au akili ya mdogo wake lissu uifananishe na mdogo wake mizengo pinda au shukuru kawambwa una hoja mtoa mada

Wewe bba ako ameifanyia nn Tz au hata familia yenu?au ndo kakurithishen kulalamika na roho mbaya....
 
Back
Top Bottom