Kwanini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Lissu na hatufanikiwi?

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
22,138
Reaction score
32,715
Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu?

Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi.

Nina mifano michache ya kutoa:

Mfano wa kwanza, kipindi Tundu Lissu anagombea urais wa Chama cha Mawakili Tanzania, nguvu nying ilitumika na serikali kumfanya Lissu asishinde ila mwisho wa siku alichaguliwa kuwa Rais wa TLS.

Mfano wa pili, Tundu Lissu alifanyiwa shambulio la kuuawa kwa kupigwa risasi kwenye maeneo ambayo viongozi wa serikali wanaishi na kamera za CCTV kuondolewa ili Ushahidi wa aliyemvamia usionekane. Kwa kuonesha kwamba hilo shambulio lilifadhiliwa na serikali, hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa mpaka leo. Ila pamoja na kutendewa hayo yote, cha kushangaza ni kwamba Tundu Lissu alifanikiwa kushinda hilo jaribio na mpaka sasa ni mzima wa afya na IGP aliyekuwa mamlakani kipindi hicho Simon Sirro akaondolewa kwenye hiyo nafasi.

Mfano wa Tatu, wakati Tundu Lissu akiwa bado anaendelea na matibabu yake ughaibuni yaliyotokana na majeraha ya shambulizi la risasi, Spika wa Bunge wa kipindi hicho Mh Job Dungai, alitengua nafasi yake ya ubunge kwa kauli ya kwamba haonekani bungeni, ila wote tunajua kilichomtokea Spika Ndungai naye akaondolewa kwenye nafasi yake ya uspika na kubaki mbunge wa kawaida kabisa.

Mfano wanne, Kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, nguvu nyingi zilitumika dhidi ya Tundu Lissu. Hii ilipelekea mpaka siku ya kupiga kura mtandao wa internet ulizimwa kwa karibia wiki nzima. Ila wote tunajua kilichotokea baada yah apo, nchi ilipata msiba wa Rais ikabidi Rais ambaye hakuchaguliwa ndiye awe Rais.

Mfano wa Tano, kipindi Tundu Lissu anagombea nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA tuliaminishwa kwamba hawezi kushinda na walimtaka akishindwa asihame chama. Ila leo waliomtaka Lissu asihame chama wao ndio wamehama chama tena kwa kuitisha vyombo vya habari.

Hiyo mifano hapo juu itupe tafakari ya kwanini tunatumia nguvu nyingi kama taifa dhidi ya Tundu Lissu. Leo tumemkamata na kumpa kesi ya uhaini kama kumkomoa ili akae ndani ya mahabusu kwa miaka mingi na pia ili mwishowe tumnyonge na kumuua kisha tusherekee. Hatujaishia hapo, tumetengua wajumbe wa kamati kuu aliyo wachagua yeye ili tu kumkomoa na kumuoonesha tuna nguvu dhidi yake. Hii yote tunafanya ili tupate nini? Kuna nini nyuma ya pazia ambacho viongozi wa serikali wanakiogopa ambacho wengine hatukijui.

Nihitimishe kwa kusema hivi, hii nguvu tunayo tumia dhidi ya Lissu kwenye kupambana na wahalifu au umaskini au suala la ajira tungefika mbali. Ila nguvu zetu zote tumeelekkeza kwa Lissu ili tummalize tufurahie huku tukiacha suala la vijana kukosa ajira au ubadhirifu wa mali za umma yakitamalaki. Ni nini tunakiogopa kwa Tundu Lissu kiasi kwamba tupo tayari kufanya lolote ili tu kumuua kimwili au kisiasa.
 
Lissu ajapata watu serious wa Kudeal nae.

Mkuu Lissu ni mtupu sana.

Na ajue kabsia huko sero anaposota sio salama kwa afya yake.

Narudia Lissu bado sio Threat ya kitisha
 
Mungu keshaamua kumlinda hata uje na nyukilia na watu serious wajinga wenzako mtashindwa tu , mkimwekea Sumu jela mungu atazuia pia kisha wewe utakufa kabla yake kwani hakuna ubaya usio na mwisho
 
Mungu ni muweza wa yote Mungu ndo anayeona salini kama yote yanafanywa kwa mtu ambae hana hatia basi Lissu ataendelea kuepo mpaka kusudio la Mungu litimie
Watesi ccm wamesahau kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu?

Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi.

Nina mifano michache ya kutoa:

Mfano wa kwanza, kipindi Tundu Lissu anagombea urais wa Chama cha Mawakili Tanzania, nguvu nying ilitumika na serikali kumfanya Lissu asishinde ila mwisho wa siku alichaguliwa kuwa Rais wa TLS.

Mfano wa pili, Tundu Lissu alifanyiwa shambulio la kuuawa kwa kupigwa risasi kwenye maeneo ambayo viongozi wa serikali wanaishi na kamera za CCTV kuondolewa ili Ushahidi wa aliyemvamia usionekane. Kwa kuonesha kwamba hilo shambulio lilifadhiliwa na serikali, hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa mpaka leo. Ila pamoja na kutendewa hayo yote, cha kushangaza ni kwamba Tundu Lissu alifanikiwa kushinda hilo jaribio na mpaka sasa ni mzima wa afya na IGP aliyekuwa mamlakani kipindi hicho Simon Sirro akaondolewa kwenye hiyo nafasi.

Mfano wa Tatu, wakati Tundu Lissu akiwa bado anaendelea na matibabu yake ughaibuni yaliyotokana na majeraha ya shambulizi la risasi, Spika wa Bunge wa kipindi hicho Mh Job Dungai, alitengua nafasi yake ya ubunge kwa kauli ya kwamba haonekani bungeni, ila wote tunajua kilichomtokea Spika Ndungai naye akaondolewa kwenye nafasi yake ya uspika na kubaki mbunge wa kawaida kabisa.

Mfano wanne, Kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, nguvu nyingi zilitumika dhidi ya Tundu Lissu. Hii ilipelekea mpaka siku ya kupiga kura mtandao wa internet ulizimwa kwa karibia wiki nzima. Ila wote tunajua kilichotokea baada yah apo, nchi ilipata msiba wa Rais ikabidi Rais ambaye hakuchaguliwa ndiye awe Rais.

Mfano wa Tano, kipindi Tundu Lissu anagombea nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA tuliaminishwa kwamba hawezi kushinda na walimtaka akishindwa asihame chama. Ila leo waliomtaka Lissu asihame chama wao ndio wamehama chama tena kwa kuitisha vyombo vya habari.

Hiyo mifano hapo juu itupe tafakari ya kwanini tunatumia nguvu nyingi kama taifa dhidi ya Tundu Lissu. Leo tumemkamata na kumpa kesi ya uhaini kama kumkomoa ili akae ndani ya mahabusu kwa miaka mingi na pia ili mwishowe tumnyonge na kumuua kisha tusherekee. Hatujaishia hapo, tumetengua wajumbe wa kamati kuu aliyo wachagua yeye ili tu kumkomoa na kumuoonesha tuna nguvu dhidi yake. Hii yote tunafanya ili tupate nini? Kuna nini nyuma ya pazia ambacho viongozi wa serikali wanakiogopa ambacho wengine hatukijui.

Nihitimishe kwa kusema hivi, hii nguvu tunayo tumia dhidi ya Lissu kwenye kupambana na wahalifu au umaskini au suala la ajira tungefika mbali. Ila nguvu zetu zote tumeelekkeza kwa Lissu ili tummalize tufurahie huku tukiacha suala la vijana kukosa ajira au ubadhirifu wa mali za umma yakitamalaki. Ni nini tunakiogopa kwa Tundu Lissu kiasi kwamba tupo tayari kufanya lolote ili tu kumuua kimwili au kisiasa.
Kama fisiem wanajiamini wao wanapendwa na watashinda uchaguzi si wamuache huru jamani, alafu mijitu inayoshobokea fisiem hata ikiniombaga hela siipagi naichukia jamani,
 
Lissu ajapata watu serious wa Kudeal nae.

Mkuu Lissu ni mtupu sana.

Na ajue kabsia huko sero anaposota sio salama kwa afya yake.

Narudia Lissu bado sio Threat ya kitisha
Kama una watu serious iweje sasa mnaenda kumbambikia kesi za uongo? wewe na mbowe na makala sasa mmekula pesa za ununuzi wa G55 kwenda Chaumaccm au chauma-Ubwabwa mmelewa ujinga
 
Kama fisiem wanajiamini wao wanapendwa na watashinda uchaguzi si wamuache huru jamani, alafu mijitu inayoshobokea fisiem hata ikiniombaga hela siipagi naichukia jamani,
Ndani ya ccm kuna kundi la wajinga wachade wakiongozwa na makala, hicho kikundi cha ufisadi wa pesa za walipa kodi wanamchochea mama awatese chadema kwa kutumia polisiccm na makakamaccm kisha wao kuomba pesa za kuidhoofisha chadema, ni mradi haramu wa kishetani ndani ya ccm
 
Chaumaubwabwa ni chauma-ccm ni chama cha uvunguni mwa ccm ni chaka la wachache kula pesa kwa kisingizio cha kuudhofisha chadema
 
Lissu ajapata watu serious wa Kudeal nae.

Mkuu Lissu ni mtupu sana.

Na ajue kabsia huko sero anaposota sio salama kwa afya yake.

Narudia Lissu bado sio Threat ya kitisha
Mbona unajichanganya mwenyewe, unazo za kutosha wewe?

Nenda katafute mtu "serious" akushindilie risasi 16 mwilini, halafu uje hapa utueleze mtu huyo asivyokuwa 'serious'!

"... Lissu bado sio Threat ya kitisho (sic)'; halafu hao wanaokupeleka chooni kila siku na hata wewe mwenyewe hapo mnafikiri kumweka ndani ndiko kutakako wapa unafuu!

Unajiandikia mambo tu bila hata kutafakari umeandika nini.
 
Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu?

Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi.

Nina mifano michache ya kutoa:

Mfano wa kwanza, kipindi Tundu Lissu anagombea urais wa Chama cha Mawakili Tanzania, nguvu nying ilitumika na serikali kumfanya Lissu asishinde ila mwisho wa siku alichaguliwa kuwa Rais wa TLS.

Mfano wa pili, Tundu Lissu alifanyiwa shambulio la kuuawa kwa kupigwa risasi kwenye maeneo ambayo viongozi wa serikali wanaishi na kamera za CCTV kuondolewa ili Ushahidi wa aliyemvamia usionekane. Kwa kuonesha kwamba hilo shambulio lilifadhiliwa na serikali, hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa mpaka leo. Ila pamoja na kutendewa hayo yote, cha kushangaza ni kwamba Tundu Lissu alifanikiwa kushinda hilo jaribio na mpaka sasa ni mzima wa afya na IGP aliyekuwa mamlakani kipindi hicho Simon Sirro akaondolewa kwenye hiyo nafasi.

Mfano wa Tatu, wakati Tundu Lissu akiwa bado anaendelea na matibabu yake ughaibuni yaliyotokana na majeraha ya shambulizi la risasi, Spika wa Bunge wa kipindi hicho Mh Job Dungai, alitengua nafasi yake ya ubunge kwa kauli ya kwamba haonekani bungeni, ila wote tunajua kilichomtokea Spika Ndungai naye akaondolewa kwenye nafasi yake ya uspika na kubaki mbunge wa kawaida kabisa.

Mfano wanne, Kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, nguvu nyingi zilitumika dhidi ya Tundu Lissu. Hii ilipelekea mpaka siku ya kupiga kura mtandao wa internet ulizimwa kwa karibia wiki nzima. Ila wote tunajua kilichotokea baada yah apo, nchi ilipata msiba wa Rais ikabidi Rais ambaye hakuchaguliwa ndiye awe Rais.

Mfano wa Tano, kipindi Tundu Lissu anagombea nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA tuliaminishwa kwamba hawezi kushinda na walimtaka akishindwa asihame chama. Ila leo waliomtaka Lissu asihame chama wao ndio wamehama chama tena kwa kuitisha vyombo vya habari.

Hiyo mifano hapo juu itupe tafakari ya kwanini tunatumia nguvu nyingi kama taifa dhidi ya Tundu Lissu. Leo tumemkamata na kumpa kesi ya uhaini kama kumkomoa ili akae ndani ya mahabusu kwa miaka mingi na pia ili mwishowe tumnyonge na kumuua kisha tusherekee. Hatujaishia hapo, tumetengua wajumbe wa kamati kuu aliyo wachagua yeye ili tu kumkomoa na kumuoonesha tuna nguvu dhidi yake. Hii yote tunafanya ili tupate nini? Kuna nini nyuma ya pazia ambacho viongozi wa serikali wanakiogopa ambacho wengine hatukijui.

Nihitimishe kwa kusema hivi, hii nguvu tunayo tumia dhidi ya Lissu kwenye kupambana na wahalifu au umaskini au suala la ajira tungefika mbali. Ila nguvu zetu zote tumeelekkeza kwa Lissu ili tummalize tufurahie huku tukiacha suala la vijana kukosa ajira au ubadhirifu wa mali za umma yakitamalaki. Ni nini tunakiogopa kwa Tundu Lissu kiasi kwamba tupo tayari kufanya lolote ili tu kumuua kimwili au kisiasa.
Yote hayo mnafanya Ili neno litimie!
 
soma MAANDIKO utagundua kuwa siku zote shetani hushindana na kusudi la Mungu. Mpango wa shetani ni kulipinga wazo na kusudi la Mungu. Mara zote hufeli sana. Lissu yuko na mpango wa Mungu na utatimia iwe iwavyo.
 
Back
Top Bottom