Kwanini tunatumia majina ya bandia?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Salaam kubwa wana MMU baada ya kufanya mazoezi ya kuandika thread hatimaye nimeandika...
-hivi ilitokeaje mpaka wote tukawa tunatumia majina bandia
hili jambo limekuwa likinitatiza hebu nisaidieni
 
Sio wote wanatumia majina bandia humu
 
We hilo jina ni lakwako? Kama sio lako kwanini unatumia fake?
Tuanzie hapo kwanza
 
mimi nilianza na jina langu original lakini nilipoona asilimia kama 90 mnatumia fake nikamuomba invisible anibadlshe bt cjajua sababu?
 
Sio wote wanatumia majina bandia humu

binafsi mimi jina la id yangu ndiyo hilo hilo ambapo nilipozaliwa niliitwa clever na bahati nzuri baba yangu nae kumbe anaitwa bright hivyo automatically nikawa Mr. clever bright ila ni humu tu jamvini ndiyo nimeyaunganisha. ila kuna majina kama ya @nifah nina uhakika 100% kuwa siyo majina yao halisi halafu sijui ni kwanini watu humu wanapenda kuyaficha majina yao ya ukweli na vile wanapenda kuwa na id's nyingi nyingi. wangeniiga mimi ingependeza mno kwani natumia jina halisi na nina id hii hii moja tu.
 
Hahahahaaaa hivi unajua kwamba @nifah ndio jina langu halisi?
Usidhani wote ni mapopoma wenzio.
 
Back
Top Bottom