Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

Naomba nipatiwe majibu katika balozi zetu huko katika mataifa mbalimbali ikifa SAA kumi na mbili zinashushwa na Kama zinashushwa je ubalozi wetu nchin Sweden bendera zinashushwa kufuata masaa au nuru kwa maana Sweden Giza ni masaa matatu tu
 
Amiri ni neno la kiaarabu lenye maana ya Kiongozi
Tena niongezee

AMIR-KIONGOZI WA KIUME(MWANAUME)
AMIRAT-KIONGOZI MSAIDIZI WA KIKE (MWANAMKE)

NIMEWEKA MSAIDIZI KWA MAANA NCHI NYINGI ZA KIARABU HAKUNA KIONGOZI ANAEONGOZA KUNDI KUBWA LA WATU HALAFU AKAWA NA JINSI YA MWANAMKE
KAMA NIMEKOSEA MNIREKEBISHE
 
Nmekuelewa
 
MWe! Hiyo bendera ya jeshi ni colour less and pole with string less? Maana naonaga hata ubayani(police stations) inashushwaga ikifika jioni ambapo pia no jeshini
 
Ninavyojua ni kwamba "amir" ni neno la kiarabu lenye maana ya kiongozi. Hivyo kwenye Kiswahili tumetohoa hilo neno na kuwa Amiri Jeshi Mkuu kwa maana hiyo ni Kiongozi Mkuu wa Majeshi
Na kwa usahihi hatupaswi kusema AMIR JESHI MKUU, hii hata BAKITA walishalalamikia. Tuchague moja: AMIR JESHI au JESHI MKUU! AMIR na MKUU zina maana sawa.
 
Kwa maoni yangu nadhani ni utaratibu tulio urithi kutoka kwa watawala wetu wa mwisho kabla ya uhuru (Uingereza) utaratibu ambao imepitwa na wakati.

 
Ukitaka kuona wabongo wababaishaji ndo kwenye uzi huu... Swali limejibiwa na watu wasiozid watano, ingawa kuna comment zaid ya 100. Tunaassume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…