Kwanini "tunashadadia" sana kuhusu Mh.Makonda

JF inapoteza credibility kwa post kama zenu
Kwahiyo unataka watu tushabikie vyeti feki kama huko ugambani na bado zitaanzishwa thread zaidi ya mia kuhusu vyeti feki subirini jumapili Gwajima anatuletea wageni toka kolomije
 
Watu lazima waelewe,kwa nini tunaunga mkono yanayomkuta Mh.Makonda kwa dhati.
1.Udhalilishaji kwa watumishi wa umma
Makonda alikuwa kinara wa kudhalilisha watumishi wa umma.Hasa katika operesheni yake ya kufanya mikutano ya hadhara huku akiwaita au kuchukua hatua Kali za kinidhamu pale jukwaani kwa maneno ya kuambiwa tu bila kuwa na ushahidi
Makonda alikuwa ni nambari wani kudharau watumishi kwa lugha za kebehi na kudharau taaluma zao.Mfano aliwahi kusema pale ofisini kwake watumishi wa umma ni wanne tu wengine wote magarasa. Anatutukana sisi kwamba hatuna akili kumbe yeye kabumba vyeti.Huyu ni mdhalilishaji

Kwa hiyo what goes around comes around,Makonda anavuna alichokipanda

Kwa namna ile ile ya kutudhalilisha watumishi akaenda kuwadhalilisha kina Gwajima,Mbowe kumbe amekutana na 'wahuni" wenzie.Amejikuta anabamizwa kiasi cha kushindwa kujitetea akisubiri huruma yetu......Hakuna hiyo muacheni anyooshwe tu,ajitetee mwenyewe

Hata hukumu ya kesi ya kikatiba ya Mh.Mbowe itatusaidia sana watumishi dhidi ya udhalilishaji tunaofanyiwa na wakuu wa mikoa na wilaya.Tunataka watu watuadhibu kwa mujibu wa sheria
2. Ngoswe Penzi kitovu cha Uzembe.
Makonda ametajwa kutumia cheo chake vibaya,ametajwa kutumia ofisi kulazimisha mambo binafsi.Mtu kama huyu ni hatari sana.Hana tofauti na Ngoswe.
Kwa wasio fahamu Ngoswe Penzi kitovu cha uzembe ni hadithi inayofunza watumishi kufanya kazi walizotumwa.Bwana Ngoswe alipewa kazi ya kufanya sensa yeye akaenda kijijini kutafuna mabinti kina Mazoea

Chanzo cha gomvi wa Bwana Makonda Mh.Wema Sepetu kimetajwa kuwa ni mapenzi. Kwamba kuna mmoja analazimisha mapenzi.Hii ni kwa mujibu wa maongezi ya Mama Wema na Steve Mengere

3.Mapambano dhidi ya Ufisadi wa Elimu
Serikali ya awamu ya tano ilikuja na mkakati na matamko mazito dhidi ya watumishi na wore wanaotumia vyeti vya kughushi. Vita hii ilionekana nyepesi kwa wengine. Sasa kwa kuwa huyu kiumbe ni kielelezo cha watumishi waliofoji vyeti,tunataka serikali ichukue hatua.
Sisi tunakomaa kwa kuwa vita hii inapiganwa kibaguzi. Chukulia ingekuwa wewe mtumishi wa RAS Dar Es Salaam umefoji cheti ungenyanyaswaje!!!Sasa kwa nini wengine wapewe mda wa kujipanga wengine tutumbuliwe bila hata kuaga?

3.Uchonganishi wa Makonda
Kaburi la Marehemu Kebwe alikuwa mkurugenzi wa jiji linatikisika.
Makonda ni mchonganishi na hafai kabisa kuwa kiongozi hata wa familia. Sote tulishuhudia akimchongea mkurugenzi kwa Rais kiasi cha rais kumtumbua mzee wa watu hadharani bila kujali utu wake.Nani hafahamu kilichomkuta Mkurugenzi wa Kinondoni Eng.Nati.....
Sasa kwa nini sisi tunapomchongea Makonda tena kwa mambo yenye dalili za kweli tunaonekana tuna chuki.Hapana,what goes around comes around.

Kwa hiyo mambo akiyokuwa akiyafanya Makonda kwa wengine sasa ni wakati wake naye kuburudika nayo ili iwe funzo kwa wengine wenye hulka kama zake

Na watu waelewe kuwa kwa Makonda kutaja majina ya wauza unga hakumpi kinga ya makosa ya jinai aliyofanya au atakayofanya. Hata kama Makonda ungeleta mvua hatuwezi kusema eti kwa kuwa umeleta mvua basi wewe ruksa kutumia cheti cha mtu.Hiyo sheria ya wapi?
Mimi ninachotaka ni athibitishe tu hizi taarifa kama ni za uongo au kweli...kwa maana taarifa mpya kuhusu yeye zinakuja kila kukicha na yeye hajatoa taarifa rasmi na yeye amekaa kimya?? Au ndio ule msemo, kimya nalo ni jibu?? Nasubiria tu atoe huu utata
 
hatushadadiiiii tunataka kujua ukweli kuhusu elimu yake na majina yake yenye utata!!!! ni baaashiiit....au ?
 
Hapa ndipo ninapoona wanaomsema Makonda ni vilaza! Hivi Wema ni wa kumkataa Makonda?

Hivi Mbowe, Manji, Idd Azan wote hao walitongozwa na Makonda wakakataa?
 
Watu lazima waelewe,kwa nini tunaunga mkono yanayomkuta Mh.Makonda kwa dhati.
1.Udhalilishaji kwa watumishi wa umma
Makonda alikuwa kinara wa kudhalilisha watumishi wa umma.Hasa katika operesheni yake ya kufanya mikutano ya hadhara huku akiwaita au kuchukua hatua Kali za kinidhamu pale jukwaani kwa maneno ya kuambiwa tu bila kuwa na ushahidi
Makonda alikuwa ni nambari wani kudharau watumishi kwa lugha za kebehi na kudharau taaluma zao.Mfano aliwahi kusema pale ofisini kwake watumishi wa umma ni wanne tu wengine wote magarasa. Anatutukana sisi kwamba hatuna akili kumbe yeye kabumba vyeti.Huyu ni mdhalilishaji

Kwa hiyo what goes around comes around,Makonda anavuna alichokipanda

Kwa namna ile ile ya kutudhalilisha watumishi akaenda kuwadhalilisha kina Gwajima,Mbowe kumbe amekutana na 'wahuni" wenzie.Amejikuta anabamizwa kiasi cha kushindwa kujitetea akisubiri huruma yetu......Hakuna hiyo muacheni anyooshwe tu,ajitetee mwenyewe

Hata hukumu ya kesi ya kikatiba ya Mh.Mbowe itatusaidia sana watumishi dhidi ya udhalilishaji tunaofanyiwa na wakuu wa mikoa na wilaya.Tunataka watu watuadhibu kwa mujibu wa sheria
2. Ngoswe Penzi kitovu cha Uzembe.
Makonda ametajwa kutumia cheo chake vibaya,ametajwa kutumia ofisi kulazimisha mambo binafsi.Mtu kama huyu ni hatari sana.Hana tofauti na Ngoswe.
Kwa wasio fahamu Ngoswe Penzi kitovu cha uzembe ni hadithi inayofunza watumishi kufanya kazi walizotumwa.Bwana Ngoswe alipewa kazi ya kufanya sensa yeye akaenda kijijini kutafuna mabinti kina Mazoea

Chanzo cha gomvi wa Bwana Makonda Mh.Wema Sepetu kimetajwa kuwa ni mapenzi. Kwamba kuna mmoja analazimisha mapenzi.Hii ni kwa mujibu wa maongezi ya Mama Wema na Steve Mengere

3.Mapambano dhidi ya Ufisadi wa Elimu
Serikali ya awamu ya tano ilikuja na mkakati na matamko mazito dhidi ya watumishi na wore wanaotumia vyeti vya kughushi. Vita hii ilionekana nyepesi kwa wengine. Sasa kwa kuwa huyu kiumbe ni kielelezo cha watumishi waliofoji vyeti,tunataka serikali ichukue hatua.
Sisi tunakomaa kwa kuwa vita hii inapiganwa kibaguzi. Chukulia ingekuwa wewe mtumishi wa RAS Dar Es Salaam umefoji cheti ungenyanyaswaje!!!Sasa kwa nini wengine wapewe mda wa kujipanga wengine tutumbuliwe bila hata kuaga?

3.Uchonganishi wa Makonda
Kaburi la Marehemu Kebwe alikuwa mkurugenzi wa jiji linatikisika.
Makonda ni mchonganishi na hafai kabisa kuwa kiongozi hata wa familia. Sote tulishuhudia akimchongea mkurugenzi kwa Rais kiasi cha rais kumtumbua mzee wa watu hadharani bila kujali utu wake.Nani hafahamu kilichomkuta Mkurugenzi wa Kinondoni Eng.Nati.....
Sasa kwa nini sisi tunapomchongea Makonda tena kwa mambo yenye dalili za kweli tunaonekana tuna chuki.Hapana,what goes around comes around.

Kwa hiyo mambo akiyokuwa akiyafanya Makonda kwa wengine sasa ni wakati wake naye kuburudika nayo ili iwe funzo kwa wengine wenye hulka kama zake

Na watu waelewe kuwa kwa Makonda kutaja majina ya wauza unga hakumpi kinga ya makosa ya jinai aliyofanya au atakayofanya. Hata kama Makonda ungeleta mvua hatuwezi kusema eti kwa kuwa umeleta mvua basi wewe ruksa kutumia cheti cha mtu.Hiyo sheria ya wapi?
Well said,salute.
 
Kuna pahali pameandikwa amezaliwa 1981 lkn kwenye picha yake ya kugombea sijui uenyekiti ndani ya CCM imeandikwa amezaliwa 1982.

Clarification pls!
Kwahilo ondoa shaka mkuu, yeye ndio binaadam pekee aliyezaliwa mara mbili.
 
Hapa ndipo ninapoona wanaomsema Makonda ni vilaza! Hivi Wema ni wa kumkataa Makonda?

Hivi Mbowe, Manji, Idd Azan wote hao walitongozwa na Makonda wakakataa?
Juhudi za ndugu rais za kutaka kila mtu kutumia cheti chake na kusiwe na mafisadi wa elimu ni lazima ziungwe mkono.. Hata kwa lazima
 
Hahaha ETI Kwa mujibu wa mama wema na Steve.. Jf imeshuka hadhi.. Tunajadili maongezi ya watu
 
Kweli tupu..
Wacha moto umuwakie..
Manake alizidi..
Tena na Kwaresima hii, acha ateseke tu.
Viongozi watatoka miongoni mwa binadamu. Katika maisha pima negative pima positive amua! Wewew hapo ulipo una mapungufu mangapi l;akini hilo halikufanyi mfano kukosa mke una positives zako. In addition mambo mengine ni zushi mnajua Wema hamumuji. Time will tell. Mbowe akae chonjo na jicho aliliokuwa anamuangalia kwenye ile picha iliyowekwa humu. Wakikorofishana tu ndio atal;ijua jiji!
 
Wewe unaonekana umejaa chuki tu hamna kipya
Hapana mkuu hana chuki kabisa huyo mkuu kwani ameongea kweli kabisa,Tunataka makonda aithibitishie Tanzania yetu kuwa yeye ninani kati ya hayo majina yaliyotajwa? Msumeno hukata kotekote.
 
Hii issue ni ya muhimu sana,bado tunasubiri uamuzi wake tuone utatokea wapi bungeni au mahakamani au white house
 
Mashitaka ni udanganyifu wa kutumia cheti cha mtu mwingine katika elimu na kujipatia manufaa ambayo hakustahili. The rest is blatant lie...
 
Hapa ndipo ninapoona wanaomsema Makonda ni vilaza! Hivi Wema ni wa kumkataa Makonda?

Hivi Mbowe, Manji, Idd Azan wote hao walitongozwa na Makonda wakakataa?
Umeona hilo tu
 
Akuna kubadili gia angani watu wamefanyiwa uwakiki zaidi ya mara nne walimu na manesi watu waliacha kazi ndani ya masaa 24 iweje mwingine afoji tena kiongozi haikubaliki hata kidogo
 
Askofu Gwajima atamshangaa sana Mama "Ndelichako" kama ataacha kufuatilia issue ya Daudi Bashite.....
 
Namjua Prof Ndalichako, ni mama mkakamavu sana. Kama atakaa kimya katika issue hii basi tutajua kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia. Hakukaa kimya kwenye issues pale Baraza la Mitihani mwaka ule hata akalazimika kuchukua "Sabbatical leave", Akiikalia kimya issue ya Daudi Bashite hata mimi nitashangaa kama Askofu Gwajima...
 
Back
Top Bottom