Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,715
- 167,730
Wanaenda kuigiza kufa, eti ehhWanajeshi kwenda kulinda amani ni miradi ya mataifa makubwa na lengo huwa sio kumaliza machafuko nafikiri mkuu una uelewa mdogo juu ya maigizo ya wanasiasa. Vilevile kwenda kulinda amani ni dili kubwa sana kwa wanajeshi na vikosi vingine,kupata chansi ni mpaka uonge,au kuna mkubwa anakujua hivyo akushike mkono,ukijua maslahi wanayoyapata hata na wewe ungetamani sana kwenda kule. In short kule hawaendi kupigana kama unavyofikiria.
Forojo GanzeMwenge ni kuwapumbaza watanzania tu, hakuna cha amani wala utulivu ukaletwa na mwenge
Forojo GanzeMwenge ni kuwapumbaza watanzania tu, hakuna cha amani wala utulivu ukaletwa na mwenge
Mwenge ni uselessWazo zuri sana mkuu...
Hahahahaaa! Hapana, tumkodishe Kabila kwa miezi sita ili "a-maintain peace and stability in Congo"(tumia sauti ya Ban Ki Moon )tuone matokeo.Mwenge ni useless
Sitaki kuamini kuwa Yale mabilioni tunayachoma bureee tuUmewaza mbali sana
Kuwaza muhimu aiseerUmewaza mbali sana