Hao waliopandisha wenyewe hakutumia hivo viwango na wengi elimu zao a Kununua sana Pia huwa hawafanyi Research za UhakikaSWALI
Ni kwanini tunapandisha viwango vya ufaulu kuingia chuo kikuu huku bado tuna idadi ndogo ya wahitimu wa shahada mbali mbali kulinganisha na nchi zote kubwa Afrika Mashariki? Inamaana Kenya,Uganda na Rwanda tutashindana nao vipi kwenye ushirikiano wetu huu?
Swali.... Hivi wamepandisha au wamerudisha vya zamani..?SWALI
Ni kwanini tunapandisha viwango vya ufaulu kuingia chuo kikuu huku bado tuna idadi ndogo ya wahitimu wa shahada mbali mbali kulinganisha na nchi zote kubwa Afrika Mashariki? Inamaana Kenya,Uganda na Rwanda tutashindana nao vipi kwenye ushirikiano wetu huu?
Hats idadi yenyewe ya wahitimu wa angalao shahada ya kwanza imeongezeka kuanzia 2007-2017 baada ya kuongeze kwa vyuo vikuu nchini ambao wengi wao walikua na ufaulu angalau 2Es, Ambazo hizo 2Es za kwetu huku Ukienda nchi yeyote Afrika Mashariki na duniani unasoma chuo kikuu.Tatizo siasa ineshika hatamu.Hao waliopandisha wenyewe hakutumia hivo viwango na wengi elimu zao a Kununua sana Pia huwa hawafanyi Research za Uhakika
Je, nchi zote kubwa za Afrika Mashariki ziliwezaje kupata wahitimu wengi wa shahada!? ...ni kweli nao walishusha viwango vya ufaulu kupaa wahitimu hawa!?SWALI
Ni kwanini tunapandisha viwango vya ufaulu kuingia chuo kikuu huku bado tuna idadi ndogo ya wahitimu wa shahada mbali mbali kulinganisha na nchi zote kubwa Afrika Mashariki? Inamaana Kenya,Uganda na Rwanda tutashindana nao vipi kwenye ushirikiano wetu huu?
Badala watatue matatizo ya Ya waalimu na Suala la Technology katika ufundishaji Tanzania weeeHats idadi yenyewe ya wahitimu wa angalao shahada ya kwanza imeongezeka kuanzia 2007-2017 baada ya kuongeze kwa vyuo vikuu nchini ambao wengi wao walikua na ufaulu angalau 2Es, Ambazo hizo 2Es za kwetu huku Ukienda nchi yeyote Afrika Mashariki na duniani unasoma chuo kikuu.Tatizo siasa ineshika hatamu.
SWALI
Ni kwanini tunapandisha viwango vya ufaulu kuingia chuo kikuu huku bado tuna idadi ndogo ya wahitimu wa shahada mbali mbali kulinganisha na nchi zote kubwa Afrika Mashariki? Inamaana Kenya,Uganda na Rwanda tutashindana nao vipi kwenye ushirikiano wetu huu?
Kuachwa isiwe sababu ya sisi kuachia elimu yetu iendeshwe kiholela.Alikudanganya nani? Uliza viwango vya elimu vya nchi hizo kwa rank ya kimataifa wametuacha kiasi gani?
Achana nao hao wakurupukaji walifuta advanced diploma ili tuendane na wenzetu wa EA sasa wamekuja na hili sijui tunaendana na nchi ipi? Vyuo vya kueleweka huko Duniani hawaingii kwa hizo points walizoweka na bado wako mbali kielimu zaid yetuHao waliopandisha wenyewe hakutumia hivo viwango na wengi elimu zao a Kununua sana Pia huwa hawafanyi Research za Uhakika
Waboreshe Kwanza huko Primary na Secondary mpaka Leo waalimu kutwa Kulalamika Mazigira ya Kazi na Zana za Kufundishia Kitabu Kimoja wanafunzi 5 Dawati 1 wankaa 4 kama lile Tangazo la HakiElimuAchana nao hao wakurupukaji walifuta advanced diploma ili tuendane na wenzetu wa EA sasa wamekuja na hili sijui tunaendana na nchi ipi? Vyuo vya kueleweka huko Duniani hawaingii kwa hizo points walizoweka na bado wako mbali kielimu zaid yetu
Ni bora wachache wenye viwango nakujitambua kuliko wengi wasio na ubora! Ingekuwa kuwa na degree tu ndio kutoka kimaisha basi tungekuwa mbali sasaUnajihangaisha hakuna wa kukujibu swali hilo. Hakuna!