Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?

Shida ni kwamba watu wakishakuwa na uhakika sasa wapo kwenye ndoa wanafanya wapendavyo katika kila kitu, kama ni mwanamke anajua yeye ndo mama mjengo anaongea, anafanya chochote atakacho baba mjengo utarudi tuuu hata unune vipi

Wanandoa wengi wanaishi kwa kuvimbiana chini ya mwamvuli wa ndoa ukiamini unawalinda, wenye moyo mwepesi wanavunja ndani ya wiki, wale wa kuona jamii itawaonaje ndo wanakufa na tai shingoni.
 
Mnacomplicate tu mambo, hiyo micharuko ndo inafaa kuwa mke. Mnapenda kufanyiwa mambo ya kimalaya kitandani hlf mnaenda kuoa ambae hawezi hayo mambo anahisi utamuona Malaya.
 
Kwenye kutaka kuoa mambo kadhaa huangaliwa.
1. Body chemistry- Uzuri wa sura, umbo, sauti, motion, rangi, n.k. wanaume wengi wanaanzia hapa kutamani na akilewa na tamaa anaoa kabisa. Uzuri ukiisha ananza kuweweseka kutafuta mwingine.

2. Character and conduct- hapa ndo mambo ya tabia na mienendo, mwanamke anaweza kuwa sio mzuri wa sura au umbo lakini ni MTU, ana tabia zake nzuri, sio john kiropo, anajua aongee nini na kwa wakati gani, anatunza Mali zake na za mumewe...na mambo mengine ya tabia nzuri unayoyajua.

3. Uchamungu- Mahusiano yake na mola wake. Yakiwa mazuri basi na mke anakuwa hana mashida shida.
Mke akiwa na hofu ya mungu basi hata mkigombana mnaachana kwa wema.

4. Compatibility- hapa tunamaanaisha kule kuendana, unaweza kuwa na mke ila hamuendani kwa mambo mengi, mnabishana hatari, ye anapendelea mambo flani, we unapendelea mambo kadha. Hapo lazima uione ndo chungu. Ile family mission na vision zinakuwa hamna.Kila mtu ana malengo yake. Na sio malengo ya pamoja.

Kikubwa ni kucompromise. Hakuna binadam anaweza kuwa na sifa zote hizo. Mkishardhiana mengine unakausha tu. Mwanake ukishaishi nae kama sio mshirikina, hachepuki, na akawa na kizazi. Mengine unavumilia tu.
 
Umesema hakuna formula

At the same time unatupa maujanja kuwa tuoe mwanamke tuliyemrudhia

Mnazidi kuniacha njia panda kwakweli
 
Afu saizi sio kama zamani ujue mambo yamebadilika

Saizi watu wanaoa kwa lengo la kuwaridhisha mabestie kutopondwa endapo ataonekana kaoa demu ambaye hana specs za kimjini

Wanasema wanawake wenye tabia nzuri na hofu ya mungu wengi hajaja qualify kigezo hicho

Ni hatari yani
 
Eeh sasa kuwaridhisha mabestie sindio kunaletaga mabalaa maana hauishi na bestie bali kivuruge wako
 
Eeh sasa kuwaridhisha mabestie sindio kunaletaga mabalaa maana hauishi na bestie bali kivuruge wako
Unapochagua mke wa kuoa jambo la kwanza linahusisha interest yako

Afu sa baada ya hapo inafata interest za mabestie unafanya imagination kwa machizi wako watampokeaje huyo shemeji yao je amefit pande zote mbili.

Ukitoka hapo unarudi kwa wake za hao mabestie je wanaelekeana na huyu wako au kuna gape kapigwa?

Baada ya hapo tena unabidi ujiulize, wake za hao masela we binafsi unawaonaje onaje? Je hao machizi wanajivunia kuwatambulisha wake zao kwa watu?

Ukiona kuna gape, wako kazidiwa vitu fulani basi huyo ndo wife material
 
Unapotafuta wife material, jiulize je wewe n husband material?
 
Wengi wa hawa wife material hawako romantic sana, yaani mgegedo unapatikana kwa mbinde, ndiyo hapo wagegedaji tunaamua kuruka na vicheche.
 
Reactions: BAK
Mbona hiyo mifano ya kuchanganywa humu iko mingi sana!?

 
Kweli you are smart mkuu
 
Kuoa mwanamke bila kumshirikisha Mungu wakati unachagua wife material ni kujidanganya....
 
Wengi wanataka kupata wenza wakamilifu! Wakati ndoa haina mkamilifu na inahitaji uvumilivu!
Ni kweli mkuu ndoa ni taasisi nyeti sana, kuvumiliana ndo jambo la msingi japo si kila linalokuja linaweza kuvumilika.
 
Mke material pia inategemea na mwanaume mwenyewe, maana kuna wengine mpaka mke anajiuliza nilikosea wapi mpaka kukutana na hili dubwasha? Mseme ukweli kuna wanaume wengine wanaitwa wanaume kwasababu wana mkia si vinginevyo wanawake wanawatunzia siri sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…