Kwanini Trump ni muongo hivi??

Kwanini Trump ni muongo hivi??

View attachment 3388259naona upepo bado unavuma maana unaweza ukampitia yeyote huu upepo waajabu sasa yetu macho 😎.https://x.com/Currentreport1/status/1938867127521628359?t=sOVPHTMalnm1iEYH6a9icw&s=19
Turkey ni nato,watawaweka nato ktk wakati mgumu, maana makubaliano ya nato akipigwa mmoja wote wanaingilia
Halafu israel aache shobo,hawamuwezi Turkey,labda kama wamechoka kuishi
 
Wewe unaamini kipi hapo? Marekani as long washajja upo place furani wanaamini, ila Israel hadi apige ndio anakuambia Anajua ulipo so usiogope language na tactics za inteligence
 
Kusema alisitisha kwa sababu ilikuwa na madhara makubwa kwa upande wao ni uongo kabisa kwani ingekuwa ni hivyo basi Iran isingekubali kusitisha vita na ingetumia hiyo fursa "kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia".

Hivyo hizo kama kawaida ni zile porojo tu za kutoka masjid ubwabwa.

Elewa kwamba vita havijaisha ila vimesitishwa tu na punde vikianza tena mlengwa mkuu atakuwa ni huyo Ayatollah mwenyewe na weka macho uone kama hatapelekwa akhera kupokelewa na mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Roho inakuuma sana mwanaume kamili alipoishinda mishoga na kutaka kusitisha vita,kataa kubali kwa vile shoga hata ukimwambia utamu wa mbunye hawezi kukuelewa,Iran imeshinda vita na kile kichaka cha taifa teule kichapwa
 
Aliandika kwenye mtandao wake kuwa yeye na Israel wanafahamu alipojificha kiongozi mkuu wa Iran ayatollah ali khamenei na kwamba hawataki kumuua.

At the Same Point Waziri wa ulinzi wa Israel anakiri kuwa katika Operesheni yao lengo lilikua ni kumuua Ayatollah na viongozi wa kijeshi lakini kuhusu kumuua ayatollah walifeli kwani hawakujua alipo.

My take: Jee hawa ndo watu wa kuwaaamini??? Mbona trump na magharibi ni waongo sana?
mbona huoni kama Ayatollah ni muongo anatoka mafichoni na kusema Iran imeshinda vita na nuklia zimepata athari kidogo huku jeshi la Iran limeharibiwa majenerali wameuawa,wanasayansi wameuawa,rada zimepomolewa,nuklia zimelipuliwa,wairan wameuawa kama 600 hivi huku Israel ni 28 tu na nyumba 700 zilizobomolewa na ayatollah yeye mwenyewe katetewa na Trump asiuliwe ni ushindi gani Iran imeupata?
 
🤣🤣🤣 Nani muongo hapa?
Na jinsi unavyo ongea unaonesha ulivyo kasirikia kwa kupigwa
Nakukumbusha tu matukio yalio fanyika ya Israel ni ya kigaidi, na sheria za kimataifa za kivita amevunja pia
 
Attachments

  • 6111373-2a473baef567f35b5d84a5031ccf231.mp4
    21.3 MB
  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 8
ila Rais wa nchi hapewi intelejensia na watu wake!
Huyo Trump alikataa ripoti ya Mr.Grossi kuhusu mpango wa nuclear wa Iran l,ilhali Grossi ndiye nuclear watchdog wa IAEA.
Kwa akili zako timamu nadhani ushaelewa.
Ni sawa na Samia Suluhu akatae ripoti ya Dr.Janabi ilhali yeye hajasomea kuhusu afya.
Hapo ndipo utakuta mwanasiasa anapindisha ripoti za mwanasayansi ili kukidhi mahitaji yake ya kisiasa.
Una akili timamu think beyond the box.
 
Aliandika kwenye mtandao wake kuwa yeye na Israel wanafahamu alipojificha kiongozi mkuu wa Iran ayatollah ali khamenei na kwamba hawataki kumuua.

At the Same Point Waziri wa ulinzi wa Israel anakiri kuwa katika Operesheni yao lengo lilikua ni kumuua Ayatollah na viongozi wa kijeshi lakini kuhusu kumuua ayatollah walifeli kwani hawakujua alipo.

My take: Jee hawa ndo watu wa kuwaaamini??? Mbona trump na magharibi ni waongo sana?
Haya maneno uliyoyanukuu embu yaweke Kwa lugha ya kingereza tukusaidie kutafsir maana Nina uhakika umeyatoa kwenye lugha ya kiarabu ndio maana yanaonekana Yako kinyume nyume.
 
Jamaa hana akili kabisa
Trump kachanyikiwa ndie aliewashauri Israel waingie hiyo vita baadae alipoona ina madhara makubwa upande wao wakaamua kusitisha sasa sababu ya vita inabidi aokoteze tu mtaani kila kukicha tukijaaliwa kesho ataongea kitu kingine kabisaa maana wale wahuni kitendo cha kupiga maeneo todauti tofauti ndani ya Israel kimewachanganya sana.
 
Nomaa
Pameanza kuchangamka

[emoji779]️[emoji1134][emoji1130] Channel 13:
“There are many casualties in army bases and strategic facilities due to Iranian missiles that we have not talked about until today”.

@Palestine_Updates
 
Wewe ndo ulisema Iran na Israel ni marafiki na wanatuzuga tu na kwamba haitokaa itokee vita kati ya hao

Tukuamini kwa kipi kwanza
Wewe unaamini kipi hapo? Marekani as long washajja upo place furani wanaamini, ila Israel hadi apige ndio anakuambia Anajua ulipo so usiogope language na tactics za inteligence
 
Turkey ni nato,watawaweka nato ktk wakati mgumu, maana makubaliano ya nato akipigwa mmoja wote wanaingilia
Halafu israel aache shobo,hawamuwezi Turkey,labda kama wamechoka kuishi
Hawa jamaa jeuri sana na kiburi juu, at least Wairan wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa to cut them to size.
 
Aliandika kwenye mtandao wake kuwa yeye na Israel wanafahamu alipojificha kiongozi mkuu wa Iran ayatollah ali khamenei na kwamba hawataki kumuua.

At the Same Point Waziri wa ulinzi wa Israel anakiri kuwa katika Operesheni yao lengo lilikua ni kumuua Ayatollah na viongozi wa kijeshi lakini kuhusu kumuua ayatollah walifeli kwani hawakujua alipo.

My take: Jee hawa ndo watu wa kuwaaamini??? Mbona trump na magharibi ni waongo sana?
Hao ni bla bla nyingi toka lini Myahudi na Nasara wakawa wakweli
 
Back
Top Bottom