Kwanini Traffic akikuandikia faini isilipwe TRA?

Kwanini Traffic akikuandikia faini isilipwe TRA?

kasanga70

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
227
Reaction score
517
Kuna jambo huwa linanishangaza hapa! Tangu lini askari akakusanya mapato ya nchi? Kwanini yasilipwe tra ndani ya siku kadhaa!

Kuna nchi nyingi ukiandikiwa fine gari yako inakuwa kwenye system hadi ukilipa mamlaka ya mapato ndipo unaondoka kwenye system!

Hapa kwetu tunahitaji kuelekea huko!
 
Ikiwa hivyo itakuwa poa sana lakini kumbuka kuwa ndio rushwa itaongezeka kwa sabb watu watatafutiwa makosa mpaka wakome
 
]Kuna jambo huwa linanishangaza hapa![/COLOR] Tangu lini askari akakusanya mapato ya nchi? Kwanini yasilipwe tra ndani ya siku kadhaa! Kuna nchi nyingi ukiandikiwa fine gari yako inakuwa kwenye system hadi ukilipa mamlaka ya mapato ndipo unaondoka kwenye system! Hapa kwetu tunahitaji kuelekea huko!

Kwa nini linakushangaza? Na limeanza kukushangaza lini? Je, wewe haujakulia TZ? Na Na kama umekulia TZ ni kwanini lilikuwa halikushangazi mpaka ulivyoona nchi nyingine wanavyofanya tofauti?

 
Wao wanadhani kuwa kila mwenye Gari ana hela Wakati wowote. Ndio maana unakutana na trafiki anakuandikia faini na anakaa na Gari eti mpaka ulipe papo halo.
 
Back
Top Bottom