Kwanini tigo mnafanya uhuni huu?

Kwanini tigo mnafanya uhuni huu?

VANCOUVER

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
336
Reaction score
20
Kuna kamchezo kanakoendelea Tigo cha kudaivegi mawasiliano na sms za baazi ya wateja wao. Mpaka naandika maada hii, mdau 1 ambaye tunafanya naye kazi ameshawajua wafanyakazi wa 3 wanaofanya kazi tigo call centre pamoja na uhuni huo wanaoufanya.
 
Si hivyo tu bali wamejaa wezi humo. Jana nilinunua kifushi cha extrem saa 6 mchana na cha kushangaza nampigia jamaa yangu saa 10 jioni simu haina salio hata la mesage. Na hii si mara ya kwanza kwani niliwahi kuwapigia wanaishia kunipa moyo eti ni kweli na tatizo lako linashughulikiwa hadi muda wa kifurushi unaisha bila kusaidiwa. Kama wafanyakazi wa tigo wanaona wizi unalipa si waje mtaani kujiunga na kundi la mbwamwitu? Waache ujinga huu vinginevyo nitahamia ttcl.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Endelea kuutumia kwa kuwa ni Mwanafunzi,ukimaliza shule utabadili.
 
Mbn utauaga umaskin ukiwaende na strong evidence!hili ni kosa la jinai na km kwl mhusika ajiweke saw akae mkao wa kula endapo atachanga karata vzr.
 
Kuna kamchezo kanakoendelea Tigo cha kudaivegi mawasiliano na sms za baazi ya wateja wao. Mpaka naandika maada hii, mdau 1 ambaye tunafanya naye kazi ameshawajua wafanyakazi wa 3 wanaofanya kazi tigo call centre pamoja na uhuni huo wanaoufanya.

Au niweke majina ya hao wafanyakazi pamoja na namba zao za simu?
 
mkuu mbona huweki majina yao na namba zao za simu za hao wapuuzi wa call centre Tigo.
 
Kuna kamchezo kanakoendelea Tigo cha kudaivegi mawasiliano na sms za baazi ya wateja wao. Mpaka naandika maada hii, mdau 1 ambaye tunafanya naye kazi ameshawajua wafanyakazi wa 3 wanaofanya kazi tigo call centre pamoja na uhuni huo wanaoufanya.

mwaka jana wa2 wa call centre walinisumbua sana tena usumbufu wa makusudi kabisa nitaanzisha topic kwa ajili yao.
 
Back
Top Bottom