Mbona kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikiwaonesha hao wazee wa simba waliotaka meneja wa uwanja wa Taifa kuondolewa kwa sababu zisizo na mashiko!Lete Ushahidi Usio Na Shaka Yoyote Tuuone
walichoma moto hilizi kule SA wakapigwa faini. hukumbukiLete Ushahidi Usio Na Shaka Yoyote Tuuone
Ndiyo ushahidi unaotumika kwenye mchezo wa leo 9/4/2025?walichoma moto hilizi kule SA wakapigwa faini. hukumbuki
Karia ni SimbaTFF na Simba kuna uhusiano gani? Simba inaonyesha waziwazi kuwa inafanya ushirikina kwenye michezo lakini Bodi ya ligi na TFF wanajifanya hawaoni kitu; tena inazilazimisha timu nyingine zikutane na ushirikina wa Simba kwa kuzipa faini timu zinazojitahidi kukwepa kukutana na ushirikina wa Simba.
Hata CAF walishaiadhibu Simba kwa ushirikiana lakini TFF haikutoa adhabu yoyote.
Ona wazee wa Simba wanamshinikiza meneja wa uwanja akae pembeni ila Simba wafanye ushirikina wao uwanjani waifunge Al-Masry. Simba wamemwaga vitu visivyoeleweka uwanjani hadi Al masry ikawalazimu waogope kuingia uwanjani kupitia lango la kupia lakini Tff imekaa kimyaaa kama vile haipo.
TFF hii haina hadhi
TFF iko kimya na upuuzi kama huuNdiyo ushahidi unaotumika kwenye mchezo wa leo 9/4/2025?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ona hicho kilichomwagwa hapoYule msomali ni changamoto, anatanguliza sana ushabiki.
umemsahau Trump na infantino
Mungu wangu hiki nini?
Ikiuma chomoa..! Ukiona raha iache
Una uhakika kuwa ni wazee wa simba..?