Kwanini tendo la ndoa liwe la wivu?hasa hasa wanaume ?

Kwanini tendo la ndoa liwe la wivu?hasa hasa wanaume ?

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Naam kwa mara nyingine tena wanajamvi kumekuchwa
Leo sina mengi ni swali tu hivi kwanini suala la tendo la ndoa(sex) kwanini lihusishwe moja kwa moja kwa kiasi kikubwa na commitments za ndoa?na kwanini sisi binadamu tunachulia in a negative way kuwa mwenza wako akinanilihii pembeni inakua ni UDHAIFU wako(upande wa pili)
Kumbuka hii ni dunia ambayo tuko busy kutafuta suluhisho(particularly usaliti wa kimapenzi) ya matatizo yaliyoshindikana ku solviwa kwa namna ya kawaida
Na hasa katika hili utafiti unaonyesha wanaume wengi wakifumania au hata kushutukia tu hawasamehi na muda huo huo tathimini zinaonyesha ndo wanaongoza kusaliti
Kwanini tusichukulie tu poa so long as anakuheshimu na anakulelea watoto wako?kwanini tuwe wabinafsi na mahali ambapo umemkuta napo kazaliwa napo(something potential)
Nawakilisha kama una maarifa ,ujuzi tiririka!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
^^
Kuna mwanafalsafa mmoja japo jina limenitoka,,aliwahi kusema "WE ARE BORN SELFISH"
Alieleza kuwa ubinafsi na kutaka chetu kiwe chetu na sehemu ya chetu ikiwa yao basi mioyo inakunjamana.
..
Mfumo wa malezi wa tamaduni zote ulimjenga mwanaume kuamini kuwa mwanamke ni mali yake, yeye peke yake..kinyume chake ni ugomvi na hakuna msamaha.
..
Labda tungoje kizazi cha sasa ambayo kasi yake ni ya pekee,watu wanasalitiana utadhani mioyo imefungiwa kwenye pindo la kanga.

So the reason behind We are selfish?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom