GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 5,223
- 7,105
Hata vilemba na kanzu siyo mavazi ya waislamu, tatizo waislamu wanaupenda Uarabu, unaweza kwenda msikitini kuswali ijumaa ukiwa umevaa suti wala hamna shida yoyote.Tende ni kati ya matunda ninayoyapendelea sana. Nilianza kuyatumia kwa kuvutiwa na ladha yake, sikujali sana faida zake kiafya, na wala sikuwa nikizifahamu.
Ni hivi karibuni, tena kupitia nyuzi za humu Jamii Forum, nilifahamu kuwa tende si tunda lenye ladha nzuri tu, bali pia lina faida lukuki kiafya.
Lakini kuna taarifa zilizonishangaza! Kuna watu wanachukulia tende kama chakula cha Waislamu, tena cha wakati wa mfungo wa Ramadhani. Kwa nini watu wamekuwa na mtazamo huo?
Mimi nafahamu, kama sikosei, kuwa Waislamu hupendelea pia kula wali, mihogo, viazi vitamu, n.k. kipindi cha Mfungo. Itakuwa ni sahihi kusema kuwa mihogo na viazi ni chakula cha Waislamu?
Nimeangalia mtandaoni. Tende zinalimwa nchi kadhaa za Asia na zisizo za Asia. Kote huko zinalimwa kwa ajili ya Waislamu?
Hizi ni baadhi ya nchi zinazolima tende: SAUDI ARABIA, IRAN, MOROCCO, MISRI, ISRAEL, CHINA, MAREKANI, QATAR, NIGER, PALESTINA, ALGERIA, OMAN, UNITED ARAB EMIRATES, ALBANIA, MEXICO, SPAIN, UNITED STATES OF AMERICA, CAMEROON, KENYA, BENIN, COLOMBIA, n.k.
Sijaona popote palipoandikwa kuwa tende ni kwa ajili ya Waislamu!
Watu wanaovumisha kuwa tende ni chakula cha Waislamu wana nia gani? Wanataka kuwakosesha wasio Waislamu virutibisho vinavyopatikana kwenye tende?
Kisa na mkasa ni IGA ya DPW, jumlisha MOU ya TEC gawanya na Chuo Cha TANESCO Kwa BAKWATA. Hapo tende ni kipeuo tu kwenye hiyo equation
Huu mlinganyo mgumu sana. Sijaambulia chochote.Kisa na mkasa ni IGA ya DPW, jumlisha MOU ya TEC gawanya na Chuo Cha TANESCO Kwa BAKWATA. Hapo tende ni kipeuo tu kwenye hiyo equation
Ukimfuatilia Dr zakir yule kumkuta kavaa kanzu ni nadra sana ....Hata vilemba na kanzu siyo mavazi ya waislamu, tatizo waislamu wanaupenda Uarabu, unaweza kwenda msikitini kuswali ijumaa ukiwa umevaa suti wala hamna shida yoyote.
Unaweza kwenda msikitini umelipuka pamba vile utakavyo wala haina shida yoyote, lakini mwislamu haliziki bila kuvaa mavazi ya Waarabu mikanzu na misuli.
Hata mjadala huu wa bandari na DP world ukiwahesabu wachache wanaotetea ukiacha wale waliokula rushwa hawa wengine wanatetea kwa sababu ya mahaba yao kwa Waarabu tu na wala hawana hoja yoyote.
Kwenye suala la mavazi, nafikiri ni suala la utamaduni zaidi kuliko Imani. Namfahamu muhubiri mmoja wa Kikristo kutoka nchini India, yeye vazi lake kuu ni kanzu bila kujali kama yupo kwao India au ugenini Marekani.Hata vilemba na kanzu siyo mavazi ya waislamu, tatizo waislamu wanaupenda Uarabu, unaweza kwenda msikitini kuswali ijumaa ukiwa umevaa suti wala hamna shida yoyote.
Unaweza kwenda msikitini umelipuka pamba vile utakavyo wala haina shida yoyote, lakini mwislamu haliziki bila kuvaa mavazi ya Waarabu mikanzu na misuli.
Hata mjadala huu wa bandari na DP world ukiwahesabu wachache wanaotetea ukiacha wale waliokula rushwa hawa wengine wanatetea kwa sababu ya mahaba yao kwa Waarabu tu na wala hawana hoja yoyote.
Hata vilemba na kanzu siyo mavazi ya waislamu, tatizo waislamu wanaupenda Uarabu, unaweza kwenda msikitini kuswali ijumaa ukiwa umevaa suti wala hamna shida yoyote.
Unaweza kwenda msikitini umelipuka pamba vile utakavyo wala haina shida yoyote, lakini mwislamu haliziki bila kuvaa mavazi ya Waarabu mikanzu na misuli.
Hata mjadala huu wa bandari na DP world ukiwahesabu wachache wanaotetea ukiacha wale waliokula rushwa hawa wengine wanatetea kwa sababu ya mahaba yao kwa Waarabu tu na wala hawana hoja yoyote.
Hata mimi nashangaa kwani hata kahaba maarufu wa kwenye Biblia ni "Tamari" ambalo tafsiri yake ni tende.Tende ni kati ya matunda ninayoyapendelea sana. Nilianza kuyatumia kwa kuvutiwa na ladha yake, sikujali sana faida zake kiafya, na wala sikuwa nikizifahamu.
Ni hivi karibuni, tena kupitia nyuzi za humu Jamii Forum, nilifahamu kuwa tende si tunda lenye ladha nzuri tu, bali pia lina faida lukuki kiafya.
Lakini kuna taarifa zilizonishangaza! Kuna watu wanachukulia tende kama chakula cha Waislamu, tena cha wakati wa mfungo wa Ramadhani. Kwa nini watu wamekuwa na mtazamo huo?
Mimi nafahamu, kama sikosei, kuwa Waislamu hupendelea pia kula wali, mihogo, viazi vitamu, n.k. kipindi cha Mfungo. Itakuwa ni sahihi kusema kuwa mihogo na viazi ni chakula cha Waislamu?
Nimeangalia mtandaoni. Tende zinalimwa nchi kadhaa za Asia na zisizo za Asia. Kote huko zinalimwa kwa ajili ya Waislamu?
Hizi ni baadhi ya nchi zinazolima tende: SAUDI ARABIA, IRAN, MOROCCO, MISRI, ISRAEL, CHINA, MAREKANI, QATAR, NIGER, PALESTINA, ALGERIA, OMAN, UNITED ARAB EMIRATES, ALBANIA, MEXICO, SPAIN, UNITED STATES OF AMERICA, CAMEROON, KENYA, BENIN, COLOMBIA, n.k.
Sijaona popote palipoandikwa kuwa tende ni kwa ajili ya Waislamu!
Watu wanaovumisha kuwa tende ni chakula cha Waislamu wana nia gani? Wanataka kuwakosesha wasio Waislamu virutibisho vinavyopatikana kwenye tende?
Sasa wao wenyewe huwa wanasema chao so tumewaachiaTende ni kati ya matunda ninayoyapendelea sana. Nilianza kuyatumia kwa kuvutiwa na ladha yake, sikujali sana faida zake kiafya, na wala sikuwa nikizifahamu.
Ni hivi karibuni, tena kupitia nyuzi za humu Jamii Forum, nilifahamu kuwa tende si tunda lenye ladha nzuri tu, bali pia lina faida lukuki kiafya.
Lakini kuna taarifa zilizonishangaza! Kuna watu wanachukulia tende kama chakula cha Waislamu, tena cha wakati wa mfungo wa Ramadhani. Kwa nini watu wamekuwa na mtazamo huo?
Mimi nafahamu, kama sikosei, kuwa Waislamu hupendelea pia kula wali, mihogo, viazi vitamu, n.k. kipindi cha Mfungo. Itakuwa ni sahihi kusema kuwa mihogo na viazi ni chakula cha Waislamu?
Nimeangalia mtandaoni. Tende zinalimwa nchi kadhaa za Asia na zisizo za Asia. Kote huko zinalimwa kwa ajili ya Waislamu?
Hizi ni baadhi ya nchi zinazolima tende: SAUDI ARABIA, IRAN, MOROCCO, MISRI, ISRAEL, CHINA, MAREKANI, QATAR, NIGER, PALESTINA, ALGERIA, OMAN, UNITED ARAB EMIRATES, ALBANIA, MEXICO, SPAIN, UNITED STATES OF AMERICA, CAMEROON, KENYA, BENIN, COLOMBIA, n.k.
Sijaona popote palipoandikwa kuwa tende ni kwa ajili ya Waislamu!
Watu wanaovumisha kuwa tende ni chakula cha Waislamu wana nia gani? Wanataka kuwakosesha wasio Waislamu virutibisho vinavyopatikana kwenye tende?
Sasa hii inahusiana nini na tende alafu huyo tamari yuko kitabu gani embu tupe rejeaHata mimi nashangaa kwani hata kahaba maarufu wa kwenye Biblia ni "Tamari" ambalo tafsiri yake ni tende.
Tena ni kahaba aliyehusishwa, ndani ya biblia, kuwa ni katika chanzo zhanzo cha uzazi wa Yesu.
Ni kweli kuwa tafsiri ya Tamari ni Tende, lakini Tamari wa kwenye Biblia hakuwa kahaba.Hata mimi nashangaa kwani hata kahaba maarufu wa kwenye Biblia ni "Tamari" ambalo tafsiri yake ni tende.
Tena ni kahaba aliyehusishwa, ndani ya biblia, kuwa ni katika chanzo zhanzo cha uzazi wa Yesu.
Kivipi mkuu? Kwamba Waislamu wanitimia au hawaitumii?Nje ya mada kidogo, Kondoo pia ni mnyama wa waislamu? Kuna jamaa yangu kanambia hana soko kwa sababu za kiimani, kuna ukweli wowote??
Mimi ninapenda niwafuge, ila nilikatishwa tamaa. Nikaachana nao. Hapa Kyela kuwaona ni nadra sana.