Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Nafikiri sababu kuu tunabadili saana handset.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti, Kwanini kwenye kusajili simcard hawasajili na IMEI number ya handset ya mhusika???? Najua kuna baadhi ya watu watakuja hala na kusema kuwa IMEI number huonekana automatically kwenye computer system ya service provider pindi simcard inapochomekwa kwenye handset.
Sasa kwanini mtu akipoteza kifaa cha kielektroniki (let's say it's a mobile handset) ukienda kutoa report police wanakwambia uwapelekee na IMEI number ya kifaa husika????
Kwanini simcard na mobile handset visisajiliwe vyote kwa pamoja na kwa wakati mmoja kwa kitambulisho kutoka katika mamlaka za serikali kiasi kwamba ikitokea mimi Infantry Soldier nimepoteza handset nikienda Police wasiniombe tena IMEI number ya kifaa husika???
Hii inawezekana kweli au mimi ndio mshamba wa technology???
NB: NSSF Arusha nipeni pesa zangu za redundancy mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue????
Kwanini handset isisajiliwe wakati wa kununua pale dukani? Iwe ni compulsory....Nafikiri sababu kuu tunabadili saana handset.
Sidhani kama hii ni sababu toshaNafikiri sababu kuu tunabadili saana handset.
INAWEZEKANA KABISA ILA NDIO HIVYO BONGO BAHATI MBAYAHii inawezekana kweli au mimi ndio mshamba wa technology???
Sidhani kama hii ni sababu tosha
1. Ndio ni sababu tosha. Simu haina uhusiano na SIM card hivyo hakuna sababu ya kuvisajili/kuvilock pamoja. SIM card inaweza kuwekwa kwenye GSM device yoyote ile, temporarily or permanently for any reason. Vile vile, simu inaweza kuingizwa SIM card yoyote ile temporarily or permanently kwa sababu yoyote ile.Kwanini handset isisajiliwe wakati wa kununua pale dukani? Iwe ni compulsory....
Kaka, umesoma ukaelewa maudhui ya hii thread vizuri???1. Ndio ni sababu tosha. Simu haina uhusiano na SIM card hivyo hakuna sababu ya kuvisajili/kuvilock pamoja. SIM card inaweza kuwekwa kwenye GSM device yoyote ile, temporarily or permanently for any reason. Vile vile, simu inaweza kuingizwa SIM card yoyote ile temporarily or permanently kwa sababu yoyote ile.
Kuna use cases nyingi sana za wateja, mfano:
International Travellers
Modems and Routers
GPS trackers
4G cameras & security systems
The idea that siju zisajiliwe dukani is absurd! Achana na complexity inayohusika kutrain wauza simu wote, fikiria watu wanaouziana simu na kupeana simu. Fikiria watu wanaoagiza simu wenyewe. Fikiria watu wanaosafiri kimataifa ambao wanaingiza tu line ya nchi husika. Hawa watasajili wapi? What benefits zinakuwa achieved kwa complexity hiyo?
Polisi wanahitaji IMEI ya simu hiyo kwasababu itawarahisishia kuquery mitandao yote kujua SIM card iliyopo kwenye simu husika currently.
Keep your IMEI in a safe storage kwa ajili hio.
Simu nimenunua three years back hilo box lenye IMEI nitakuwa nalo bado tu humo ndani? Kwani kuna technical hindrance gani kwenye kusajili handsets???Polisi wanahitaji IMEI ya simu hiyo kwasababu itawarahisishia kuquery mitandao yote kujua SIM card iliyopo kwenye simu husika currently.
I took my time kuandaa jibu comprehensive as the question is, naambiwa sijaelewa maudhui. I feel very insulted.Kaka, umesoma ukaelewa maudhui ya hii thread vizuri???
Eti, Kwanini kwenye kusajili simcard hawasajili na IMEI number ya handset ya mhusika????
Unataka kujua kwanini kwenye kusajili SIM card hawasajili IMEI sio? Kwamba kwanini hawaassociate a sim card to an IMEI wakati wa SIM registration? Nikasema haya:Kwanini simcard na mobile handset visisajiliwe vyote kwa pamoja na kwa wakati mmoja kwa kitambulisho kutoka katika mamlaka za serikali
Simu haina uhusiano na SIM card hivyo hakuna sababu ya kuvisajili/kuvilock pamoja. SIM card inaweza kuwekwa kwenye GSM device yoyote ile, temporarily or permanently for any reason. Vile vile, simu inaweza kuingizwa SIM card yoyote ile temporarily or permanently kwa sababu yoyote ile.
On a related note, ukataka kuona uwezekano wa wauza simu kusajili hizo simu. Nikasema:IKIWEZAKANA HANDSET ISAJILIWE DUKANI WAKATI WA KUNUNUA. WAUZAJI KATIKA MADUKA YA SIMU WAWE NA KIFAA CHA KISASA CHA USAJILI.
Kuna use cases nyingi sana za wateja, mfano:
International Travellers
Modems and Routers
GPS trackers
4G cameras & security systems
The idea that siju zisajiliwe dukani is absurd! Achana na complexity inayohusika kutrain wauza simu wote, fikiria watu wanaouziana simu na kupeana simu. Fikiria watu wanaoagiza simu wenyewe. Fikiria watu wanaosafiri kimataifa ambao wanaingiza tu line ya nchi husika. Hawa watasajili wapi?
Unataka kujua kwanini Polisi wanataka IMEI number, sio?Sasa kwanini mtu akipoteza kifaa cha kielektroniki (let's say it's a mobile handset) ukienda kutoa report police wanakwambia uwapelekee na IMEI number ya kifaa husika????
Polisi wanahitaji IMEI ya simu hiyo kwasababu itawarahisishia kuquery mitandao yote kujua SIM card iliyopo kwenye simu husika currently.
Keep your IMEI in a safe storage kwa ajili hio.
This just shows you suck at keeping records. Kuna Google drive na online storage kibao. You can store your IMEI numbers and other important records in there.Simu nimenunua three years back hilo box lenye IMEI nitakuwa nalo bado tu humo ndani?
When you ask, sit your ass and listen.Hii inawezekana kweli au mimi ndio mshamba wa technology???
Mara nyingi wataalamu (washauri) huwa hawafanyi utafiti wa kutosha kabla ya kuanzisha jambo flani, ndo matokeo yake tunafanya vitu nusu nusu.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti, Kwanini kwenye kusajili simcard hawasajili na IMEI number ya handset ya mhusika???? Najua kuna baadhi ya watu watakuja hapa na kusema kuwa IMEI number huonekana automatically kwenye computer system ya service provider pindi simcard inapochomekwa kwenye handset.
Sasa kwanini mtu akipoteza kifaa cha kielektroniki (let's say it's a mobile handset) ukienda kutoa report police wanakwambia uwapelekee na IMEI number ya kifaa husika????
Kwanini simcard na mobile handset visisajiliwe vyote kwa pamoja na kwa wakati mmoja kwa kitambulisho kutoka katika mamlaka za serikali kiasi kwamba ikitokea mimi Infantry Soldier nimepoteza handset nikienda Police wasiniombe tena IMEI number ya kifaa husika???
IKIWEZAKANA HANDSET ISAJILIWE DUKANI WAKATI WA KUNUNUA. WAUZAJI KATIKA MADUKA YA SIMU WAWE NA KIFAA CHA KISASA CHA USAJILI.
Hii inawezekana kweli au mimi ndio mshamba wa technology???
NB: NSSF Arusha nipeni pesa zangu za redundancy mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue????
Kesho ukibadili simu, ukasajili tena IMEI?Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti, Kwanini kwenye kusajili simcard hawasajili na IMEI number ya handset ya mhusika???? Najua kuna baadhi ya watu watakuja hapa na kusema kuwa IMEI number huonekana automatically kwenye computer system ya service provider pindi simcard inapochomekwa kwenye handset.
Sasa kwanini mtu akipoteza kifaa cha kielektroniki (let's say it's a mobile handset) ukienda kutoa report police wanakwambia uwapelekee na IMEI number ya kifaa husika????
Kwanini simcard na mobile handset visisajiliwe vyote kwa pamoja na kwa wakati mmoja kwa kitambulisho kutoka katika mamlaka za serikali kiasi kwamba ikitokea mimi Infantry Soldier nimepoteza handset nikienda Police wasiniombe tena IMEI number ya kifaa husika???
IKIWEZAKANA HANDSET ISAJILIWE DUKANI WAKATI WA KUNUNUA. WAUZAJI KATIKA MADUKA YA SIMU WAWE NA KIFAA CHA KISASA CHA USAJILI.
Hii inawezekana kweli au mimi ndio mshamba wa technology???
NB: NSSF Arusha nipeni pesa zangu za redundancy mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue????
Huwezi kumlock mtu atumie device moja.Polisi awana access ya kujua simcard yako ilichomekwa kwenye kifaa chenye IMEI number ipi, hivyo inabidi umfuate service provider aangalie IMEI no.uliyokuwa ukiitumia then ndio uipeleke polisi. Japo hili jambo la kusajili IMEI na Simcard lina changamoto zake hasa kwa wale wanaopenda kubadilisha simu, ifike mahala mtu uwe na simu moja permanent na uisajili, ikitumika vibaya tunakudaka. Na hii itakomesha kabisa wizi wa simu, ukichomeka line yako kwenye simu ya mtu mwingine inagoma.na taarifa zako automatically zinatumwa kwa service provider kwamba umeiba simu ya mtu.
the main reason ya kusajili SIM card kwa hatua zote hizo ni security hasa ya third party.IMEI zinachezewa kirahisi tu!!!Simu nimenunua three years back hilo box lenye IMEI nitakuwa nalo bado tu humo ndani? Kwani kuna technical hindrance gani kwenye kusajili handsets???

Mbona gari inasajiliwa hata kama unanunua kumi zote kwa nyakati tofauti?Ukinunua handset nyingine utaenda tena kuisajili kwa alama za vidole?
Handsets zinapaswa kusajiliwa kama ambavyo magari yanasajiliwa alafu watu wanakuja hapa kutetea ujingaMara nyingi wataalamu (washauri) huwa hawafanyi utafiti wa kutosha kabla ya kuanzisha jambo flani, ndo matokeo yake tunafanya vitu nusu nusu.
AiseeeeKaka, umesoma ukaelewa maudhui ya hii thread vizuri???