Kwanini TBC hawakumkatia Mkapa matangazo??! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini TBC hawakumkatia Mkapa matangazo??!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JokaKuu, Nov 4, 2010.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,777
  Likes Received: 5,000
  Trophy Points: 280
  ..nimeshangazwa na kitendo cha TBC kumuacha Mkapa atoe maneno machafu-machafu ambayo hayastahili wakati wa kampeni au kusikilizwa na watoto.

  ..kwanini TBC hawakumkatia matangazo kama walivyofanya kwenye mkutano wa ufunguzi wa Chadema?

  ..shame on TBC!!!
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  utawaweza hao kwa unafiki wao!
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Jana niliona ka-kipindi kao wakokapachika jina "Haikuwa raisi" Tido alikiri wao ndio walikuwa wanafanya maamuzi ya kukata matangazo;
  utafikiri waliitwa kama si kumbelembele chao kuonesha eti wako fair; kumbe wanatafuta posho tu.
   
 4. N

  Nampula JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii tv jamani ni ya wananchi au ya ccm....vyombo vya habari vimechakaqchuliwa, uchaguzi umechakchulwa .............tanzania siju tunakwenda wapi.
   
Loading...