Ndugu lugha huwa inataka sana inapotamkwa isilete ukakasi kwa mfano hayo maneno ya kuwatambua watu wakazi wa kila Nchi huwa yanatofautiana sana nawe unaetumia Lugha hasa hii ya Kiingereza ni lazima uyafahamu sana. Raia wa Burkina Faso wanafahamika kama Burkinabe na sio Burkinanese wala Burkinabians. Nchi ambazo raia wake wanatambulika kwa herufi -ese mwishoni ni Sudanese, Rwandese, Senegalese, Congolese, Togolese na Burkina Faso ni Burkinabe