Habari za mda huu wakuu.
Ina maana Taasisi yoyote ambayo wafanyakazi wake wanabeba au wanatumia silaha inaiwa Jeshi? Nimeshangaa sana kufahamu Majeshi yalivyo mengi. Mathalan kuna;
Jeshi la Wananchi (JWTZ)
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Jeshi la Mgambo
Jeshi la Maliasili
Jeshi la Magereza
Jeshi la Polisi
Jeshi la Uhamiaji.
Jeshi la Zima Moto na Uokoaji
Jeshi la Makirikiri aliosema gwajiim
Kati ya hayo majeshi hapo juu, nijiunge na lipi? Maana mimi sizijui vizuri majukumu yao.
Je kuna Jeshi lingine zaidi ya haya?