Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,740
Watawala na viongozi ndio hufanya maamuzi, hili la kudai kuwa watawala wanawalaghai wananchi halina mashikoWatawala wetu (nawaita watawala na wala siyo viongozi) wanawarubuni Watanzania eti kukataa mambo fulani ni kwa sababu ya kuchunga maslahi ya Watanzania