Kwanini TANESCO walidanganya wananchi?

Kwanini TANESCO walidanganya wananchi?

Mlioko mikoani tujulishane hali ya Luku!
Ni Dar tu hainunuliki au hata mikoani? MSAADA kujulishana.
 
Ni tatizo la nji zima au huko kwenu dar tuuu
 
Ilikuw nchi nzima ila imeanza kukaa sawa, nimenunua kwa MPESA.
 
Back
Top Bottom