Kwanini TANESCO walidanganya wananchi?

Kwanini TANESCO walidanganya wananchi?

Hilo la wewe kuendelea kunung'unika, kulalama na kulaumu ni ushahidi tosha kuwa na wewe unashindwa kutatua tatizo lako hilo. Kwa kiasi kikubwa sasa unadhihirisha hicho ndicho kiwango chako cha juu cha kufikiri!

Kama duniani changamoto zingekwisha, basi maendeleo yangesimama, au sivyo mkuu Mwifwa?

Lialia ni dalili za unyonge au kukata tamaa, mwanaume.

ALWAYS THINK POSITIVELY AND FACE CHALLENGES AS OPPORTUNITIES.
mkuu acha utoto basi, una fanyaje kwa uongo kama huu maana ni siku nzima umeme wa luku ni shida nao walisema ni kwa masaa tu.

iyo changamoto una ikabiri vp?, jamaa wamo humu waje watoe maelezo sio kuwasemea
 
Eti lialia....hahahahaaa

Unataka tunyamaze ili muendelee kutukandamiza kwa mambo ya kipuuzi?
Mambo mengine ni madogo tu lakini mnayafanya kipuuzi sana jambo ambalo linadhihirisha upeo wenu wa kung'amua mambo.

Kwa nini vigumu ninyi kusema ukweli?

Ukisema ukweli ni bora kuliko na kudanganya huku ukijinasibu unaweza kufanya jambo fulani ilihali unajua kulifanya ni vigumu na hata kama utalifanya lazima ulete adha kwa jamii husika.

TANESCO walisema hili tatizo halitakuwepo, kwa nini sasa limetokea?
 
Hilo la wewe kuendelea kunung'unika, kulalama na kulaumu ni ushahidi tosha kuwa na wewe unashindwa kutatua tatizo lako hilo. Kwa kiasi kikubwa sasa unadhihirisha hicho ndicho kiwango chako cha juu cha kufikiri!

Kama duniani changamoto zingekwisha, basi maendeleo yangesimama, au sivyo mkuu Mwifwa?

Lialia ni dalili za unyonge au kukata tamaa, mwanaume.

ALWAYS THINK POSITIVELY AND FACE CHALLENGES AS OPPORTUNITIES.
Acha utani kwenye hoja za msingi
 
mkuu acha utoto basi, una fanyaje kwa uongo kama huu maana ni siku nzima umeme wa luku ni shida nao walisema ni kwa masaa tu.

iyo changamoto una ikabiri vp?, jamaa wamo humu waje watoe maelezo sio kuwasemea
Siwasemei TANESCO, lakini sikubaliani na tabia ya kulalamika kana kwamba mlalamikaji yeye ni perfect.

Tatizo la umeme nchini si la jana, linajulikana, na ni la muda mrefu. Kila Mtanzania atakuwa amejipanga jinsi ya kukabiliana nalo, linapotokea.

Kwa hilo la mtandao kutokufanya kazi, linaweza kutokea wakati wowote, wewe na mimi huwa tunajipangaje kukabiliana na dharura kama hizo, au ndio huko kwa kuandaa matusi!
 
Acha upumbavu kwenye hoja za msingi
Hoja ya msingi ni kulialia! Kwa nini unasubiri hadi umeme ukatike ndio ununue?

TUACHANE NA MAISHA YA DHARURA, LA UMASKINI HAUTOTUACHA SALAMA.
 
Sio kuwa watu wanaliloa lia watu hapa wanapinga swala la Tanesco kutokutoa taarifa ya kweli na kudanganya Umma kwani wangesema ubomozi wa jengo ungeathiri manunuzi ya umeme na watu wanunue umeme mwingi? Boss wao angewatumbua???? Ivi unadanganya ili uonekane mfanisi wa kazi kwa Tija gani yani tunawasomi wa ovyo kweli
 
Siwasemei TANESCO, lakini sikubaliani na tabia ya kulalamika kana kwamba mlalamikaji yeye ni perfect.

Tatizo la umeme nchini si la jana, linajulikana, na ni la muda mrefu. Kila Mtanzania atakuwa amejipanga jinsi ya kukabiliana nalo, linapotokea.

Kwa hilo la mtandao kutokufanya kazi, linaweza kutokea wakati wowote, wewe na mimi huwa tunajipangaje kukabiliana na dharura kama hizo, au ndio huko kwa kuandaa matusi!
kutokuwa perfect haitufanyi tusilalamike, maana wametoa masaa ya kurekebisha tatizo sasa imekuwa siku wanashindwa jitokeza kutolea ufafanuzi huu ni upuuzi.

tumejipanga kwa masaa hayo waliyo sema luku itasumbua bado haitoshi basi waje waseme tujipange mwaka mzima tujue..

Tunafahamu changamoto zipo sasa kwa nini wasiseme ukweli, kutudanganya ni dalili ya dharau
 
Sio kuwa watu wanaliloa lia watu hapa wanapinga swala la Tanesco kutokutoa taarifa ya kweli na kudanganya Umma kwani wangesema ubomozi wa jengo ungeathiri manunuzi ya umeme na watu wanunue umeme mwingi? Boss wao angewatumbua???? Ivi unadanganya ili uonekane mfanisi wa kazi kwa Tija gani yani tunawasomi wa ovyo kweli
Kwamba wewe kila unalolipanga unalikamilisha! Hongera!
 
Kwanini wasiseme ukweli?? Kwani kuna shida gani watu ukiwaambia ukweli
Tatizo ni kila suala kulichukulia kisiasa. TANESCO walitoa taarifa ya mtandao wa LUKU kufanyiwa marekebisho na muda ambao wangetegemea kukamilisha. Kama yalivyo mambo ya kiufundi kuna kukamilisha katika muda au nje ya muda. Lakini, wengi wetu hawakuchukua tahadhari, ama walipuuzia, kama ilivyo desturi wakisubiri dakika ya mwisho, au hawakamini hiyo taarifa.

Ni lini Watanzania tutazingatia na kuzifanyia kazi taarifa zinazotolewa na vyombo husika, km za hali ya hewa, matengenezo ya miundombinu (barabara, maji, umeme), nk?
 
kutokuwa perfect haitufanyi tusilalamike, maana wametoa masaa ya kurekebisha tatizo sasa imekuwa siku wanashindwa jitokeza kutolea ufafanuzi huu ni upuuzi.

tumejipanga kwa masaa hayo waliyo sema luku itasumbua bado haitoshi basi waje waseme tujipange mwaka mzima tujue..

Tunafahamu changamoto zipo sasa kwa nini wasiseme ukweli, kutudanganya ni dalili ya dharau
Taarifa ulipewa ukapuuzia au ukasubiri dakika ya mwisho. Aliyelala giza au biashara kusimama ni wewe mwenyewe, jilaumu. Uzembe wako usiuhamishe.
 
taarifa inasema masaa 2, kwanza ilikanushwa ikaja kubaliwa kwa masaa 2 leo yamefika 10+ alafu unasema nmepuuzia
 
unavuta ugoro taarifa inasema masaa 2, kwanza ilikanushwa ikaja kubaliwa kwa masaa 2 leo yamefika 10+ alafu unasema nmepuuzia
Mara nyingi Watanzania tumepewa taarifa tupuuzia. Rejea mafuriko, ubomoaji, kuhakiki vyeti, TIN, usajiri nk.

UMEFIKA WAKATI WA KUBADILIKA SISI WENYEWE ILI KUFIKIA MABADILIKO YA KITAIFA.
 
Taarifa ulipewa ukapuuzia au ukasubiri dakika ya mwisho. Aliyelala giza au biashara kusimama ni wewe mwenyewe, jilaumu. Uzembe wako usiuhamishe.
Taarifa wametoa jana mchana wakati Luku tangu jana asubuhi hainunuliki.
 
Back
Top Bottom