Kwanini swahiba wake Lowassa, Msindai kaamua kurudi CCM?

Kwanini swahiba wake Lowassa, Msindai kaamua kurudi CCM?

Kapoteza Haiba aliyokuwa nayo sasa anatafuta hisani ndio kujimaliza kwenyewe huko.
 
Unafikiri alikuwa Asset au Liability ? Nasikia alikosa saizi ya Kombati kutokana na mwili wake
OTH_2800.jpeg
 
Karudi CCM kwa sababu test kashindwa.
Aliulizwa :1 rumande umelala Mara ngapi, 2: umekula mkon'goto wa polisi Mara ngapi 3:Mara ngapi umetukana viongozi wa serikali Mara ngapi? Na mengineyo mengi ya utukutu. Majibu yake ikawa hajawahi.
Akawa ka_fail interview.
Kaamua kurudi.
 
Tumbo kwani lina heshima?

Hata wewe tumbo linakufanya ukae hapo nyuma ya keyboard za Lumumba!
 
Kapewa zake na ahadi lukuki kuwa atakumbukwa kabla ya 2020. Tatizo si kurudi ccm tatizo ni kumpokea tena ccm. Oil chafu fundi hairudishii kwenye injini baada ya ku overhaul injini. Wala sijaona makapi yakirudishwa kwenye mpunga uliopepetwa.
Maneno yetu tuyachunge tunapo yanena tu.
 
Atakuwa ametumwa na Lowasa kufanya ujasusi kuelekea 2020
 
Mgana msindai ni sawa na ng'ombe iliyokatwa mkia machungani ikaingia zizini wenzie hawatashangaa lakini watajuwa hana mkia. Teh teh Magufuli banaa
 
Wanaukumbi.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti CCM Taifa na Mwenyekiti wa mkoa wa Singida Mgana Msindai, alihamia Chadema kumfuata swahiba wake mkubwa Lowassa, na baadaye kugombea ubunge Jimbo la Singida Mjini kupitia tiketi ya Chadema na kushindwa vibaya.

Kipi kilichomfanya kuamua kurudi CCM kitendo hicho ni kumsaliti swahiba yake mkubwa Lowassa.

View attachment 370335
View attachment 370336

View attachment 370341

Jana tena kaonekana kwenye mkutano wa CCM Mjini Dodoma.

He is such a funny dude
 
Alikosa Ubunge! Na yeye anafanya siasa kuganga njaa! Huko CCM kunamfaa zaidi, huku CHADEMA alikosea njia tu!
 
Back
Top Bottom